Kuna wakati Mwanamke mwenyewe anaishusha THAMANI yake hata kama Mwanaume amempatia๐ฏ
Wanaume sisi macho yetu ni DARUBIN ๐ฌ tunakagua kipi kipya kinachotamanisha na wala sio ambacho tayari TUSHAKILA๐
Mwanamke fahamu jambo hili;
• KILA MWANAUME MMOJA ANAVUTIWA NA KIMOJA WAPO KWENYE MWILI WAKO NDO MAANA HUISHI KUTONGOZWA JAPO WEWE UNAONA FAHARI๐
KWA SABABU KILA MWANAUME NA MATAMANIO YAKE.
Mwanamke akijua kwamba MWILI WAKE NI HEKARU LA MUNGU ATAWAJIBIKA KUWA NA MWANAUME MMOJA ila kama ndo amejiachia kuwa sehemu ya TAMAA YA WANAUME niamini ili Mwanamke huyo akose soko ni pindi atakapokuwa amekosa ambaye hajamtamani ๐๐
Ujinga wa Mwanaume kwenye mwili wa Mwanamke ni pale anapotamani mapaja ya Mwanamke huku akijua bila kumtongoza Mwanamke huyo hatapata atakacho, lakini pia UPAJA hata uwe mzuri kiasi gani haukati tamaa ya Mwanaume kutaka wanawake wengine ila kama AKIMCHAGUA MWANAMKE WA NAFSI YAKE ๐ฏ
Ni jukumu lako Mwanamke kuijua THAMANI YAKO ili uweze kutofautisha kati ya KUWAVUTIA WANAUME NA KUHESHIMIWA NA WANAUME๐ค
Uonapo Mwanaume anakufuata kukutongoza ujue HANA TENA HESHIMA NAWE ๐๐ ila akikuoa UKAWA MKE WAKE UJUE AMEKUHESHIMU ๐ฏ
Usiamini sauti ya Mwanaume isemayo NAKUPENDA ⛔
Maana UPENDO wa Mwanaume ni pamoja na KUKUPA THAMANI YAKO MWENYEWE kitu ambacho wanaume 89% hawajui hilo.
Mwanamke kutongozwa ni HESHIMA KWA MWANAUME MMOJA ATAKAYEKUPA HESHIMA YAKO UKAWE MKEWE ila hao wengine fanya kama unasikia kelele za ndege mwituni ๐๐๐
Wanaume twapenda MTELEZO Yaani ukiona unafuatwa sana na wanaume wala usijione CAKE ๐ฐ bali hesabu unavyo vingapi vinavyo watamanisha wanaume kisha chukuwa hatua kupambana nao, Ila kama ndo mkikosa kutongozwa mnakwenda kutafuta MIVUTO kwa waganga wallah acha MTUMIKE TU๐
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria๐จ

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/kama-wanaume-wangekuwa-wanafuata.html
No comments:
Post a Comment