Monday, March 16, 2020

WANAUME TUZUNGUMZE;

Image may contain: 1 person
Ni kwani wewe unaweza kurudi nyumbani kwako usiku wa saa 8 huku umelewa na mfukoni una condom lakini mkeo atakuvua nguo na viatu hata atakupandisha kitandani, halafu kukicha utakuta amekuandalia supu wala jana hukuacha hela ya matumizi, Jiweke upande wa Mwanamke kwamba wewe umtendeayo akutende HIVI UNGEFANYAJE?
Nikukumbushe kwamba MSAMAHA UNAWEZA KUPITA MOYONI MWA BIN ADAM NI USOKUWA NA VINASABA VYA MAPENZI ila kama umeshiriki kosa linalohusu KUSALITI KI MWILI usitarajie kuupata msamaha wa dhati ila unaweza kusamehewa ili KUFUNIKA KOMBE MWANA WA HARAMU APITE. Usimtende ubaya kiumbe yeyote ATAKULIPA UBAYA... Jifunze kwa mnyama ikiwa hujamchokoza wala hawezi kupapambana na wewe ije iwe kwa bin adam ambaye yeye AMEJAALIWA AKILI?
Mwanamke ni kiumbe dhaifu kwa kutaja ila Mwanamke ni kiumbe Jasili๐Ÿ’ช ndo maana ANAYOWEZA KUYABEBA MWANAMKE KAMWE MWANAUME HAWEZI KUSTAHILI HATA KWA MANENO TU๐Ÿ’”


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/wanaume-tuzungumze.html

No comments:

Post a Comment