Uonapo Mwanaume anakulilia na kujishusha kwako ujue WEWE NDO KIBOKO YAKE๐คฃ
Maana hao viumbe by nature hawanaga upendo ila Kuna wakati HUWA WANAPATIKANA NA KUKWAMA MAHALA... Hivyo ukijua ama kuhisi Mwanaume uliye nae ananyenyekea kwako ila isiwe kwa sababu Kuna vitu ama kitu kinamfanya hivyo bali iwe kwa uhalisia wa pendo BASI UJUE WEWE NDIYE MBUYU๐ณ WAKE๐
Maana wahenga waliposema KILA SHETANI๐บ NA MBUYU๐ณ WAKE walimaanisha Mtu asiye na UPENDO WA DHATI iko siku atakutana na KIBOKO yake na atakuwa FALA ajabu๐คฆ๐พ♂
Ewe Mwanamke ukiona Mwanaune amekuwa mdhaifu kwako Basi mshukuru MUNGU ili uweze kudumu kwenye FURAHA NA AMANI Kwani Mwanaume anapokuwa amekwama kwa Mwanamke ni nadra sana kuku-cheat, Muda wake pamoja na akili yake humtazamia Mwanamke wake lakini pia ujue
"SIO KILA MWANAMKE ALIPATA NAFASI HIYO UIPATAYO WEWE UJUE IMEKUWA BAHATI KWAKO"
Sina mengi ya kusema asubuhi ya leo ila ninaloweza kukumbusha ni kwamba;
▪USIUCHEZEE MUDA NA MOYO WA MTU ALIYEJITOA KWA AJILI YAKO⛔
Majibu ya UPENDO WA DHATI baada ya kuumia ni MABAYA hivyo jitenge na HASIRA ZA MTU HUYO.
Pamoja na yote hayo nikukumbushe KUTOLEWA UPENDO UNAOUONA MBELE YAKO bali pambana kwa hali na Mali mpaka uhakikishe kwamba HUACHII NAFASI YA UZI kupenya kwenye penzi lako, Maana ukilewa upendo utabweteka mwisho wake ni MAJUTO๐๐ฟ♂
UPENDO unahitaji kumwagiliwa matendo mema, ukweli, ukaribu, pamoja na kujitoa muda wote, Yakikosekana hayo TARAJIA KUBAKI NA HISTORIA YA PENDO LILILOKUPA FURAHA NA AMANI na baadaye kutoweka๐๐ป♂
Wasalaam Alaykum๐
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/uonapo-mwanaume-anakulilia-na.html
No comments:
Post a Comment