Tuesday, March 17, 2020

MWANAMKE SIFA YAKENI HIIπŸ’ƒπŸ’ƒ

Image may contain: 1 person, smiling, standing, ocean and outdoor
Mwanamke jifunze kuringa ili uweze kuinua maana ya umwanamke wakoπŸ’ͺ🏽
Ukiringa umemfanya anaekufuata aijue THAMANI YAKO pamoja na kuiweka mbele maana ya JINSIA YAKOπŸ‘™
Kuringa kunaiweka wazi THAMANI YAKO lakini pia unakuwa umejikubari binafsi yako na hapo itakuwa rahisi kwako kutozoa zoa wanaume ambao sio wenye UHITAJI WA MKE ila kwa haja ya miili yao
Ukiringa utachagua maeneo ya kutongozwa Kwani sio kila mahala ni sehemu salama pa kutongozwa, Jiulize ukitongozwa BAA NA MTU AMELEWA UKAMKUBARI JE POMBE IKIISHA UNADHANI ATAKUWA ANAKUMBUKA KAMA ALIKUTONGOZA?
Ukiringa utafanya uhakiki wa Mwanaume kabla ya kumpa nafasi, Ukiringa MWANAUME atakufanya MALKIA wake maana atajua namna alivyohangaika kukupata,
Wanaume humheshimu Mwanamke kutokana na upatikanaji wake ama kutokana na mazingira aliyomhitaji nayo, Lakini usiporinga UTAJIRAHISI na mwisho wa rahisi ni kukosa THAMANI maana chenye THAMANI NI AGHARI! Mafanikio yoyote ya Mwanamke hutokana na THAMANI yake, UZURI, UREMBO, SHAPE sio sehemu ya Mafanikio ya mwanamke bali ni HAZINA YA MATAMANIO YA WANAUME usipokuwa makini UTAKUWA SWALA🐐MBELE YA MACHO YA SIMBAπŸ† MWENYE NJAAπŸ˜‚
Funga masikioπŸ‘‚ yako, Tuliza machoπŸ‘€ yako, Tuliza Miguu πŸ‘£
Sio kila ukiona six packπŸ‘¨πŸΌ‍⚕ unywele πŸ‘§πŸΌ unakusimama, Utatumika bure wala usiufurahie UMWANAMKE WAKO😭
Jenga nguvu yako binafsi kupambana na HISIA zako ili usijeyumbishwa na MUONEKANO WA MWANAUME na kumbe siye yeye ambaye anatajwa na NAFSI yako, ukiitunza THAMANI YAKO utakuwa wa THAMANI mpaka unazeeka, Jiulize KWANINI WANAWAKE WASOKUWA NA MUONEKANO WA MWILI NDO WENYE MUONEKANO WA MAISHAπŸ™ˆ
Jibu ni rahisi sana "HAWAKURUBUNIKA" wakailinda heshima yao ndo maana wameibuka kuwa WANAWAKE SHUPAVUπŸ’ͺ
Kwani MWILI ni mnafiki kwa NAFSI wenyewe unaweza kukudumbukiza shimoni mwisho wa siku ukose wa KUIKOMBOA NAFSI YAKO
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanamke-sifa-yakeni-hii.html

No comments:

Post a Comment