Monday, March 23, 2020

MWANAMKE MBAYA NI HUYO ULIE NAE

 
Image may contain: one or more people and outdoor

ili kujua uzuri wake akuondoke! Mara nyingi kilicho kwenye himaya KIMEZOELEKA... Thamani ya Mtu hujulikana pale anapokuwa mbali kwani UBORA WAKE HUJULIKANA kulingana na vile ulivyo mchukulia kawaida, Ulevi wa wanaume wengi ni KUMZOEA MWANAMKE na hapo ndipo ufa wa MAHUSIANO/NDOA zao hukua na kama Mwanamke hatakuwa IMARA ni ngumu kuendelea, Mwanaume akimzoea Mwanamke hawezi kumpenda wala hawezi kumpa heshima, Mara nyingi mazoea hujenga kiburi na majigambo ambayo humuumiza sana Mwanamke kwani huona ambacho hakukitarajia, Ajitokeze Mwanaume ambaye hakuwahi kumhadaa Mwanamke wake ili ampate UKO WAPI JISEME HAPA NIKUSOME! Uongo sikukatazi ili kuboresha penzi lako lakini Man ๐Ÿ‘จ danganya yaletayo matumaini na baadaye uyatekeleze maana hayo ndo yanamjenga Mwanamke wako, Jambo ambalo linaweza kumpa AMANI NA FURAHA MWANAMKE ni pale Mwanaume anapodhibiti mazoea kwa mwenza wake, ili ujue Mwanaume ni kigeugeu yaani hajui AMPENDE NANI ni pale ambapo anaweza kumuacha Mwanamke na akawa na mwingine ila tu akikutana na yule alomuacha amependeza MATE HUMTOKA NA KUANZA KUBEMBELEZA ARUDIWE... Huyo ndo MWANAUME.
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanamke-mbaya-ni-huyo-ulie-nae.html

No comments:

Post a Comment