Thursday, March 19, 2020

Mwanamke anaweza kuibomoa nyumba yake na kumuangamiza Mumewe kwa kufanya yafuatayo:

☑️WANAWAKE
Mwanamke anaweza kuibomoa nyumba yake na kumuangamiza Mumewe kwa kufanya yafuatayo:
πŸ‘πŸΎ Matumizi makubwa kuliko kipato
πŸ‘πŸΎKutaka kumiliki kila vazi au mtindo mpya unaoingia mjini
πŸ‘πŸΎ Kuwa mbunifu wa matumizi kuliko kuongeza kipato
πŸ‘πŸΎ Kupenda maisha ya kuiga/maigizo
πŸ‘πŸΎ Kutaka kusikilizwa kila kitu bila hata kupingwa au kukosolewa
πŸ‘πŸΎ Kuboresha zaidi uzuri wa mwili kuliko tabia njema
πŸ‘πŸΎKutojali ndugu wa mume na kujali wa kwake tu eti wao ndio wazaa chema kana kwamba ndugu wa kiume ni wazaa kibaya
πŸ‘πŸΎKuwa mkali na maneno mengi
πŸ‘πŸΎ Kulaumu/kulalamika muda wote
πŸ‘πŸΎ Dharau na Kukosa shukrani
πŸ‘πŸΎKushindwa kutekeleza wajibu wake
πŸ‘πŸΎKuthamini marafiki kuliko Mumewe.
Mwanamke mwenye tabia hizo hastahili kulaumu mambo yakiharibika. Kama hujaoa jipime kama unaweza kustahimili kufurahia maisha na Mke wa mtindo huo.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanamke-anaweza-kuibomoa-nyumba-yake.html

No comments:

Post a Comment