Wednesday, March 18, 2020

Mwanamke anapoanza mawazo ya kumkubari mwanaume hufikiria zaidi JUU YA MWANAUME HUYO KUWA BABA WA MTOTO WAKE๐Ÿ‘ช

Image may contain: 1 person, ocean, sky, water, outdoor and nature
Wakati huo Mwanaume anapokuwa amemuona Mwanamke huwazia UBORA WA MWANAMKE ATAKAPOKUWA AMEVUA NGUO๐Ÿ‘ซ
Na hapo ndipo utaijua tofauti ya MWANAUME NA MWANAMKE KATIKA KUHITAJIANA! Ndo maana ni rahisi sana Mwanamke KUWATUNZA WATOTO "Familia ๐Ÿ‘ช" kuliko Mwanaume kwa sababu MWANAMKE AMETAZAMA MWENDELEZO na MWANAUME AMEFIKIRIA MPITO... Pamoja na mitazamo kuwa tofauti lakini hata HURUMA IKITAWALA IMEWAPONYA.
Japo kwenye MAHUSIANO YA SASA ni rahisi kupokea MAKWAZO kuliko kumpata Mtu wa kusikia HURUMA JUU YAKO kwa sababu UPENDO umewekwa kwenye MIFUKO yaani uwapo na kitu walau unaweza kupendwa kwa NYAKATI ukajiona uko mahala salama, ila ukitaka kujua Kwamba MAHUSIANO NI MWIBA AMBAO UKIKUCHOMA UNAOZESHA NYAMA UINGIE PENZINI KICHWA KICHWA NA MWENZIO AKUCHUKULIE POA MBONA UTAJIFUKIA KABURINI UKIWA HAI! Tengeneza njia IMARA kuyafuata MAHUSIANO YALIYO IMARA kuliko kuwaza namna ya KUWA NA MTU ili usiwe mpweke
MAPENZI ni matamu ikiwa utampata Mtu ajuaye MAANA YA MAPENZI๐Ÿ’
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ๐Ÿ’˜



source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanamke-anapoanza-mawazo-ya-kumkubari.html

No comments:

Post a Comment