kwamba asiwepo mmoja kati ya wawili waliojiapiza KULILINDA PENZI LAO kwamba kila mmoja aliamua na kuridhia kuingia penzi husika, Lakini ikitokea ikawa kinyume au mmoja kubadili mwelekeo ama kwa kusaliti PENZI HILO LIMEBOMOKA BILA MMOJA KUTOJUA
Maana kitakachokuwa kimebeba uhai wa penzi hilo ni SIRI ila ikiwa itabainika basi ILI WAENDELEE NI HURUMA YA ALIYETENDEWA KINYUME CHA IMANI YAKE๐
Ni afadhali kukosewa makosa yote MAGUMU ila yasohusiana na KUCHANGIA PENZI iwe kwa uhalisia ama kwa muingiliano wa mawasiliano, Tatizo linaloweza kuitowesha FURAHA NA AMANI ambayo wawili waliijenga kwa mioyo yao ni IMANI AMBAYO MTU ALIKUWA AMEMPA MWENZA WAKE๐ญ
Msaada pekee ambao unaweza kurejesha ama kuponya PENZI ni kwanza mkosaji akiri na kujisahihisha kwa matendo kwamba AMEJUTIA NA AONYESHE KWAMBA KOSA HILO HALIWEZI KUWA MWENDELEZO WA UGOMVI⛔
Kwa aina yoyote KUINGILIWA PENZI INAUMIZA NA KUUFEDHEHESHA MOYO na wawili hao wasipokuwa makini NI NGUMU KUWA HURU WANAPOKUWA PAMOJA pengine ni kwa wivu wa tayari alinisaliti au ni kuhisi SIMTOSHELEZI๐ญ๐ญ
Zinaweza kuwa tafakari tu au ikawa ni SAUTI ITOKAYO NDANI YA MOYO ikoongea juu ya hali ya usalama wa penzi lao kutokana na mabadiliko yaliyojitokeza na kusababisha maswali mengi, Na hapo ndipo MKANGANYIKO huchukuwa nafasi yake, Bila kuzingatia MISINGI YA PENZI husika kwa hakika KUENDELEA NI NGUMU.
Yote na Yote MSAMAHA WA DHATI NDIYO MHIMILI WA UHUSIANO WOWOTE kwa hiyo angalia lililo la THAMANI KWAKO HILO NDILO ENENDA NALO.
#Elista_Kasema_ila_Sio_She
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mapenzi-yanajengwa-na-uaminifu-wa-penzi.html
No comments:
Post a Comment