Mapenzi ni kama ubaoπ wa kufundishia shuleni, Mapenzi kila yalipochunguzwa uhalisia ulifutika na kujikuta wabobezi wakibaki na maswali mengi, Kuna aliyependwa kwa dhati nae alisema madhaifu ya aliyempenda, Kuna ambaye alisema tangu anaingia kwenye MAHUSIANO hakuwahi kuhisi UPENDO Lakini alishikamana, Kuna ambao wao hawakuwa na uhitaji wa UPENDO nao walisema hawajui Kwanini waliingia kwenye MAPENZI Kwani hayakuleta maana kwao.
Jibu linabaki kutajwa kwamba;
MAPENZI NI SIRIπ
Ndo maana PENZI LA SIRI NI TAMU kwa sababu siri ya utamu wa penzi ni siri zake ikiwa pamoja na KUTAMANIANAπ
Jiulize Kwanini HOUSE GIRL HUDHOOFISHA NDOA YA MAMA MWENYE NYUMBA?
Wababa msijidai sana hata House boy akimuotea mkeo wallah utakula makomboπ
Mtu yeyote makini anapozungumzia UHUSIANO WA MAPENZI anawajibika kumlinda na kumtunza mpenzi wake, Haimaanishi mavaziππππ chakulaπππ mahala pazuri pa kulalaπ‘ watotoπ« na kuwa wenye Mali ila nazungumzia KUUFANYA MOYO WA MWENZA WAKO KUWA NA UTULIVU
Ukiishakuwa kwenye MAHUSIANO YA MAPENZI na ukaonyesha DHARAU kwa mwenza wako, ikitokea Mtu akaonyesha nidhamu kwake MY FRIEND UMEISHA
Kwenye maisha ya MAPENZI lililo na THAMANI ni UNYENYEKEVU jiulize kama huna unyenyekevu unaujenga vipi UPENDO?
Kinyume cha unyenyekevu ni dharau na dharau haijawahi jenga UPENDO zaidi na zaidi NI KUUMIZA.
Usione WALIOPENDANA ukataka na mwenza wako akupende wakati wewe humpendi, Unapokuwa kwenye uhitaji wa KUPENDWA fomula ni ndogo mno;
"KUMPENDA KWANZA"
Waliopendana ni ngumu kujua walianzia wapi, Lakini Kuna wanao-fake upendo ili kuiridhisha jamii wakati mioyo yao INAFUKUTA KWA MATESO hao nao nawaita JOTO NYAKATI ZA BARIDIπ π
Upendo ni mwanga kwenye GIZA ndo maana usipopendwa huwezi kufurahia MAPENZI
Mwambie NAKUPENDA ambaye ANAKUPENDA kinyume chake ASOKUPENDA ACHANA NAE.
#Elista_Kasema_ila_Sio_she
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mapenzi-ni-kama-ubao-wa-kufundishia.html
No comments:
Post a Comment