Wednesday, March 18, 2020

MAPENZI HAZINA YAKE AMANI YA NAFSI๐Ÿ™‡

Image may contain: 2 people

Uonapo uko kwenye MAHUSIANO ambayo wewe unalilia UHURU kwa mwenza wako, Wakati huo yeye analinda SIRI zake ujue UKO hatarini kupata MFADHAIKO WA NAFSI๐Ÿ˜ญ
Uhuru kwenye MAPENZI ni AMANI pamoja na FURAHA๐Ÿ’ƒ
Uonapo mwenza wako anakupa nafasi ya mchana tena nje ya nyumbani kwake na awapo nyumbani kwake "USIKU" inakuwa ngumu kuwasiliana nae ujue WEWE NI MCHEZAJI ULIYE BENCH sio kama hutacheza laa hasha UTACHEZA mazee ila huna kipaumbele na pengine wewe mechi zako za ujilani mwema hazina NGAO YA HISANI๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Namba imejaa Kwani kikosi kipo kamili, Maana yake nyumbani Kuna ambaye YUKO๐Ÿ‘ช
Janga kubwa kuliko yote ni pale unapomkosa WKEND YULE AMBAYE UNAAMINI UNAMPENDA Yaani jumamosi humuoni, Jumapili hayupo BADO UNATAKA KUJIAMINI UNA MTU๐Ÿ™†
Mtu yupo kweli ila MPENZI huna๐Ÿ˜‡
UHURU kwenye MAPENZI ndo AMANI yenyewe ila ukiishakosa UHURU kwa mwenza wako ujue HAUKO PEKE YAKO๐Ÿ˜Ž
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria๐Ÿ’ช


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mapenzi-hazina-yake-amani-ya-nafsi.html

No comments:

Post a Comment