Friday, March 13, 2020

MAPENZI HALISI SIO SHAPE NA MAKALIO MAKUBWA ILA NI...!


Kuna Wanawake wana Shape kuubwaaa lakini wana akili ndogo kama punje ya haradali,ukimuweka ndani huyu ni hasara 2pu! Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani wako very smart na wana all
qualities za kuwa mke na mama bora...
Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo nyama ndo zitaendesha nyumba.
Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya Kalio,inaendeshwa kwa akili na maarifa.
Na ujue mama ndio mlezi wa Familia inapaswa awe na akili na awe msaada kwako kama mume ili
mfanikiwe pamoja.Taifa imara hujengwa na Familia baba imara na mama bora..
Uchaguzi ni wako,na
ukumbuke,Kalio huwa na tabia ya kuyumbayumba ukitembea,na hivyo ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumba yumba kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa
kwa kalio na sio akili!
Hapa namaanisha wale wanaotafuta mchina kuongeza shape au wakijaaliwa shape n sura wanahisi wamemaliza kila kitu kiasi kwamba eti hizo ndio sifa za kuwafanya waolewe.
Ni hayo tu kwa leo usiku huu.....

Image may contain: 1 person, standing and outdoor


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mapenzi-halisi-si-shape-na-makalio.html

No comments:

Post a Comment