Wednesday, March 18, 2020

KWA SASA NI RAHISI KUNUNUA POMBE🍾 ILI KUPOZA STRESS ZA MAHUSIANO kuliko kumpata japo mtu wa kukuliwaza NAFSI YAKO 😭

Image may contain: 4 people, people smiling, people sitting, table, drink and indoor
Wanawake wanaongea lugha moja ya kwamba "KWA SASA HAKUNA WANAUME WAOAJI"
Wanaume nao wanasema kwa sauti moja "WANAWAKE WALIKUWEPO ENZI ZA MAMA ZETU KWA SASA HAKUNA WANAWAKE"

MAPENZI KWA SASA NI NADHARIA😎

Vitu vyote vizuri katika maisha havionekani kwa kuvitazama bali vinasemekana kama NADHARIAπŸ™‡
Mambo mengi mazuri yametenganishwa na ukuta wa gizaπŸŒ‘ nene, Imekuwa rahisi mno kuyapata maisha mabaya wala si kazi kuyaishi wala kuyapitia ila maisha mazuri yamefichwa na kuyapata maisha mazuri inakubidi uwe jasiriπŸ’ͺ🏽 mvumilivuπŸ™‡ na mwaminifuπŸ‘
Laiti katika mahusiano wakati mnakutana mnatongozana na kuweka makubaliano ya UMOJA tungekuwa tunaonyeshwa maisha yetu ya baadaye yatakuwajeπŸ™Œ
Hakika wapo watu wangevumilia shida mpaka siku ambayo yatamjia maisha anayoyahitaji kwa sababu HAKUNA ANAYEIPENDA SHIDAπŸ™†
Mungu alituficha ili kupima upendo wetu ni wa aina gani kwa sababu yeye aliagiza TUPENDANE!
Mungu aliweka FUMBO la MOYO ili kuwapa nafasi masikini wapate faraja ya moyo kupitia mapenzi, Na matajiri wasione AMANI kupitia MALI zao maana wana wa adam huamini pesa ni KIONGOZI WA UPENDO
Kila binadamu anapenda vitu vizuri ndiyo maana wanawake wengi wanapenda wanaume wenye pesa na wanaume wavivu wa kufikilia na kutafuta wanapenda wanawake wenye pesa bilaπŸ˜‡
Wakidhania KUKIDHI MAHITAJI INAWEZA KUJENGA AMANI PAMOJA NA FURAHA MIOYONI MWAO na kumbe PESA kazi yake matumizi baada ya hapo haina nguvu KUIPONYA NAFSI ILIYO NA JERAHA LA UPENDOπŸ™‹
Ni heri kwa asiyekuwa nacho "MALI" ndani yake mna AMANIπŸ’ƒ
Kuliko yule aliye nacho "MALI" na wala ndani yake hana AMANI😭
Msiba ni msiba tu HAIJARISHI maisha ni magumu ama mazuri kwa kiwango gani POINT NI KUUTAFUTA UPENDO KWA GHARAMA YOYOTE ILEπŸ’ͺ
Kupendwa kuna ujenzi wa AFYA lakini ukikosa KUPENDWA ni MSIBA WA NAFSI😭😭
#Elista_Kasema_ila_Sio_SheriaπŸ’ƒ


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/kwa-sasa-ni-rahisi-kununua-pombe-ili.html

No comments:

Post a Comment