Sunday, March 22, 2020

AMERUDI ANASEMA NIMSAMEHE KWANI HAJAMUONA WA KULINGANA NAMI๐Ÿคฆ๐Ÿพ‍♂

young afro american couple having an argument in bedroom Stock Photo - 21512926
Kwanza nicheke kisukuma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Sikujua kama angerudi na kusema hayo๐Ÿ™†๐Ÿฟ‍♂ Alipokuwa anaondoka aliapa viapo vyote na kutamka wazi MIMI SI KITU WALA SIMTISHI KWA LOLOTE... Ndivyo walivyo watu ambao hawajui nini hitaji lao kwenye MAPENZI! Ni rahisi kuyajenga mapenzi japo kwa taabu ila tu mkiwa bado hamjatengana๐Ÿ’‘ Aliishakuwa na wake nawe ukapata wako lakini MIOYO YENU INAHITAJIANA je unajua kwamba Mapenzi yakiisha ingiliwa MAWAZO YA USALITI AUTOMATICALLY HUKOSA RADHA... Unaweza kumpa nafasi nyingine akawa mzuri kuliko mwanzo lakini je MOYO WAKO UMEKUBALIANA NA KUSHARE PENZI? Alikuacha akaenda kwingine na sasa anataka kurudi UNA HAKIKA GANI KULE ATAONDOKA JUMLA๐Ÿคท๐Ÿฝ‍♂ Tabia ya kubadilika badilika ni maumbile ya KINYONGA๐ŸฆŽ je unaamini bin adam asiye na msimamo huitwa KIGEUGEU? Amua mwenyewe but usitegemee kufurahia penzi la mtu huyo kwani ASIYE NA MSIMAMO WALA HAJUI UMUHIMU WAKO๐Ÿ˜ณ
Kwa maana hiyo mpaka anakuondoka aliishakukinai ALIACHA NINI ANATAKA KURUDIA? Bin adam Bwana ni shida YAANI USHINDWE KUFURAHIA CHAKULA HAKIJALALA HALAFU KESHO UKITAMANI KILICHOLALA TENA CHA KUPASHA KWENYE MICROWAVE๐Ÿคท๐Ÿฝ‍♂ hiyo itakuwa njaa tu,
Ishi maisha yanayokupendeza kuliko kufuata kinachompendeza mwingine, Utumwa wa MAPENZI hauna ukombozi wa maandamano ama vita bali ni FIKRA PEVU NA MAAMUZI SAHIHI๐Ÿ’ช๐Ÿฝ Pigania furaha yako kuliko kungojea mtu akufurahishe.
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria ๐Ÿฅ


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/amerudi-anasema-nimsamehe-kwani.html

No comments:

Post a Comment