Saturday, May 2, 2020

JIFUNZE KUONGEA NA MPENZI WAKO


UNAPO-CHAT NA GIRLFRIEND WAKO KWA STAILI HII:
WEWE: Oya!
YEYE: Nambie!
WEWE: mzima!
YEYE: Mi mzima ww je?
WEWE: Niko poa
YEYE: Ok
KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STAILI HII:
JAMAA: Mambo vipi mrembo?
MSICHANA: poa mzima wewe?
JAMAA: mi niko poa kabisa halafu ninapopata bahati ya ku-chat na wewe hata kama nilikuwa najisia hovyo afya yangu huimarika ghafla.
MSICHANA: mh! Kivipi yani?
JAMAA: Uzuri wako tu kwangu ni dawa tosha.
Sio siri mungu kakupendelea sana rafiki yangu.
MSICHANA: Dah! Yaani rafiki yangu huishi kunifurahisha asubuhi yote hii ushaanza kunipamba.
Ujue maneno yako yatanifanya niringe wakati sistahili.
JAMAA: Hapana unastahili kabisa kuringa wangu!
kweli wewe ni mzuri wala sio uongo ila sema tu wewe hujioni.
MSICHANA: Mh! Sawa bana asante.
JAMAA: Ila wangu ujue nini? Uongo mbaya mi nakupenda
Sipati picha ni furaha kiasi gani nitakuwa nayo pale utakaponifanya mwenye bahati ukaamua kunipa nafasi ya kuwa na wewe.
MSICHANA: Hapana wangu mi tayari nipo kwenye mahusiano ila ukweli ni kwamba huwa najisikia furaha sana pale ninapo-chat na wewe.
JAMAA: Unastahili kuwa na furaha malaika wangu!
Kwasasa wacha nikutakie siku njema.
Nataka nifanye kazi moja hivi ntakustua baadae.
MSICHANA: Asante sweetie! ntakumiss muda ambao hautakuwepo hewani
so usikawie kurudi online sawa eh?
__________________________________________
Unaweza kusema "huyu mwanamke ni cheap analainishwa kwa maneno tu"!
Lakini ukweli ni kwamba wanawake kwa ujumla wapo hivyo. Siku zote wanapenda kusikia maneno matamu kutoka kwa wapenzi wao:
Wakati mwingine unaweza kujikuta una pesa na ni mtaalamu wa kuhonga lakini bado mpenzi wako akachukuliwa na jamaa asiyekuwa na pesa kisa maneno laini laini.
Hivyo basi epuka kuzungumza/ku-chat na mpenzi wako kana kwamba una-chat na mshkaji wako wa kijiweni.
Huyo ni mwanamke unapaswa kumbembeleza la sivyo atachukuliwa na wanaojua kunyenyekea.
Mwisho naomba nikwambie


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/05/jifunze-kuongea-na-mpenzi-wako.html

No comments:

Post a Comment