Monday, May 18, 2020

Baada ya kuwa kwenye NDOA kwa miaka ISHIRINI (20) sasa, huu ndio ushauri wangu kwa WANAUME wenzangu... 🤗🤗

MRUHUSU MKE WAKO AKULINDE:
📌 WANAWAKE WENGI WANA MLANGO WA SITA WA FAHAMU (Sixth Sense); YANI WAMEPEWA UWEZO NA MUNGU WA KUITAMBUA HATARI AU HASARA KABLA HAIJATOKEA.
📌 UKIMRUHUSU MKEO AKULINDE UTAWEZA KUJIEPUSHA NA HATARI, HASARA, NA AIBU KABLA HAIJATOKEA.
ATAKULINDAJE???
- Kuna wakati atakukataza usiwe na rafiki au watu fulani.
- Kuna wakati atakuonya kuhusu kazi au biashara fulani.
- Kuna wakati atakukataza usishirikiane na mtu fulani.
- Kuna wakati atakukataza usiende mahali au Safari fulani..
📌 SIYO MARA ZOTE ATAKUWA SAHIHI; LAKINI ZINGATIA KWA MAKINI SANA KABLA HUJAKATAA ANACHOSEMA.
NB:
Wengine watasema “WANALINDWA NA MUNGU”; ni sawa kabisa; lakini kumbuka MUNGU alikupa huyo MKE kwa kusudi maalum!!
‼️NI NGUMU KIDOGO LAKINI INASAIDIA SANA 😓😷


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/05/baada-ya-kuwa-kwenye-ndoa-kwa-miaka.html

No comments:

Post a Comment