Sunday, May 31, 2020

USIMALIZE SIKU KABLA HUJASOMA HII!!, INAGUSA MAISHA YAKO.

UTAMUZAIDIApp
Francis alitafuta kazi kwa muda wa miaka kadhaa bila mafanikio yeyote. baada ya maisha kumpiga sana akaabaatika kuajiriwa na mzee mmoja, mzee yule alijitolea kumpa Tax yake awe anaifanyia kazi na kila siku awe ana mpelekea kiasi cha fedha kitakachopatoakana.
Siku moja Francis akiwa katika harakati zake za kazi Baada ya kukaa muda mrefu bila kupata mteja, ilikuwa kama mida ya saa 8 mchana jamaa mmoja (ambaye alikuwa rafiki yake) akampigia simu mara moja afike kiwanja cha ndege kuna abiria anamsubiri, bila kusubiri Francis aliwasha gari mwendo wa dakika 20 akawa amefika eneo la tukio(uwanja wa ndege).
Baada ya kupata maelekezo yote kutoka kwa yule rafiki yake, alisubiri kama muda wa dakika 5 ndege iliwasili kutoka Saudia Arabia.. Alishuka mwanamke mmoja mwenye hadhi ya juu.
Bila kuchelewa Francis alifungua mlango wa taxi yake, kuonyesha mama yule aingie kwenye gari. Safari ilianza mapaka kwenye Hoteli ya serena hoteli iliyopo pale mjini posta. Francis alimshusha na kuanza safari ya kurudi kijiweni...
Francis akiwa njiani, aligeuka nyuma ambapo ndipo alipokaa yule mama, kwa mshangao akaona Pochi kubwa , , akapaki gari pembeni mwendo wa dakika 5 kufika kilingeni. akakuta vitu muhimu zikiwemo pesa nyingi(Dola) na makaratasi ambayo hakuyafahamu..
Baada ya kutafutatafuta alifanikiwa kupata namba ya simu mule kwenye poch, bila kuchelewa kwa hofu alichukua Nokia yake iliyoonekana imechoka na kuipiga namba ile.. baada ya sekunde kadhaa yule mama alipokea simu kwa mshangao na simanzi akakuta ni yule dereva taxi...!!
Basi wakapeana maelekezo ili Francis akamkabidhi yule mama Ile poch na kila kitu alichokikuta Mule ndani.. Yule mama alikuwa na Furaha sana kukuta Passport yake ya kimataifa imo mule ndani na kila kitu kikiwa salama.
Kwa mshangao, yule mama alikuwa ni Manager mkuu katika kampuni ya mafuta hapa Dar. alichokifanya kwa uaminifu alioonyesha kijana yule. alimuajiri kijana yule katika sheli moja na kuwa kama msimamizi mkuu. Baada ya miaka kadhaa Francis alitoka masomoni nchini Misri kusomea Digrii ya mambo ya Mafuta. sasa ni msimamizi msadizi katika kampuni kubwa ya mafuta.
SASA SOMA HAYA.
Hii story imekuja na na ujumbe mzito, watu wachache ndiyo watakao amini na ndiyo watakopokea, hii ni kwasababu
"wengi wameitwa lakini watachaguliwa wachache"
Natabiri kwa mtu mmoja hapa!!
SIMAMA KATIKA ZAMU YAKO UAMINIFU WAKO UTAKUSAIDIA.
1)MWEZI HUU HAUTAPITA BILA MUNGU KUKUFUNGULIA MILANGO YA BARAKA
2)MAISHA YAKO HAYATAKUWA KAMA YALIVYO


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/05/usimalize-siku-kabla-hujasoma-hii.html

No comments:

Post a Comment