Thursday, May 28, 2020

WADADA BADILIKENI

Image may contain: 2 people
Lugha yako na matendo yako vinaweza kukufanya upate au upoteze mwanaume sahihi kwako.
Una mpost kaka yako au binamu yako kisa Handsome afu na maneno matamu ya mapenz yenye utata bila kumalizia ni kaka au nani yako
"Mungu atupe uzima tuzid kuwa pamoja... Nakupenda sana nawe una jua"
Utazekea nyumban kwenu maana watu watajua huyo ndo mtu wako kumbe ndugu yako
Upo njian, ndan ya gar au sehem yoyote mkaka kwa lugha nzuri kakuomba namba..unajibu nyodo au kwa ukali
"Sigawi ovyo namba yangu, ongea shida yako hapa nakusikiliza"
Sawa haina shida,SAVE hiyo ya kaka au baba yako ndo ushapishana na mtu sahihi ktk maisha yako. Usikalili kuwa kila mwanaume anae kuomba namba lazima awe muhuni au akutongoze,na hata akikutongoza kukubal na kukataa ni uamuz wako
Umepigiwa simu umesalimiwa kistarabu,huyo mtu kaonesha kukufaham kwa alivyo kuelezea ingawa we humfaham,Huenda hamjawah kuonana lakin yeye angalau ana ABC kuhusu wewe.lakin swal lako la 1 tena kwa ukali
"Namba yangu umepata wapi? Na unataka nini?"
Umesahau kuwa siku zote Mtoa NAMBA huwa hatakiw kutajwa kwa kulinda usalama wake... Lakin umesahau kuwa FB na sehem zingine uliandka namba yako kila mtu huichukia kwa matumiz yake.Wapo kwel watakao kusumbua lakin wengne ni waelewa,ukimueleza hawez kukusumbua
Msikilize mtu muangalie kama unaweza kuendelea kuwasiliana nae au kuachana nae. Na sio kuwa mkali hata hujampa nafas kujieleza...
msikilize mtu ila kataa lake neno itakuongezea thaman kuwa unajitambua na muelewa.
Lugha ya matus na ukali haikufanyi uonekane una msimamo ila inakushusha thaman yako.
Munaweza peana namba musiwe wapenz ila mukawa watu wa karibu na kupeana michongo ya maisha baadae fursa za kaz na biashara..
Mume au mpenz bora kwako sio lazima awe uliye kua nae au kusoma nae.. Usitake mtu eti lazima uwe una mfaham kwa jina na ukoo,huenda mumeo bado hujaonana nae wengine wote ni wapitaji tu
Anaweza kuwa mtu hujawah muona ila mukawasiliana mpaka muka onana. Wapo walio fikia hatua kuwa mume na mke lakin walipeana namba njian tu au mtandaoni.
ONYO
Pia kumpa mtu namba yako haimanishi kuwa ndo hapo hapo ugeuke mtoto yatima kuanza mizinga hata wik au mwez hujaisha.. Mara
LUKU imeisha
Huna MB
Gas huna
Nywele zimefumuka
Hujala toka jana
Utaonekana ni wale wale wanao tumia miili yao kama kitega uchumi.
Kuwa mstarabu utampata mstarabu.. Ukiona umempa namba afu msumbufu mpe BLOCK maisha yaendelee
Muheshim aliye kuja kwa heshima


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/05/wadada-badilikeni.html

No comments:

Post a Comment