Wednesday, May 27, 2020

SIMULIZI:NILITAFUTA UJAUZITO KWA MIAKA MINGI HADI NILIPOIJUA SIRI HII!


Naitwa Magreth. Nina umri wa miaka 32 sasa. Nimeolewa. Mwaka wa 8 sasa.
Story ni ndefu lakini kwa kifupi sana ni kuwa nimepitia changamoto kubwa sana katika ndoa kwa sababu ya mtoto. Nadhani mnaweza kuhisi ni kwa nini. Kitanzania si unajua mtu ukiolewa ee. Maneno yanakuwa mengi ukiwa hujapata mtoto.
Mwanzo haikuwa shida. But ilipofika miaka 3 ikawa changamoto. Nilijaribu njia nyingi. Nilipata ushauri na "matibabu" kadhaa hospitali lakini sikufanikiwa. Miaka ikazidi kwenda. Furaha nikawa sioni. Hata tendo la ndoa nikawa kiukweli silifurahii tena. Licha ya kuishi maisha nayoweza kusema ni mazuri kiukweli lakini kukosa mtoto kulinisononesha sana. Nililia. Niliomba sana. Miaka 7 ya ndoa ilipofika ukiingia wa 8 dah. Nikaanza kukata tamaa!
Lakini miezi michache iliyopita nikaona makala moja Instagram ikiongelea changamoto 7 kuu zinazoleta shida kwenye kupata ujauzito. Nikawa interested kusoma. Nikasoma kwa kina.
Nikakuta wanaeleza kuwa kuna sababu NYINGI SANA za mwanamke kutoshika ujauzito pale anapohitaji. Zingine ziko kwake zingine kwa mwanaume. Kwa mfano kama mbegu za mwanaume haziwezi kutungisha mimba hapo hata mwanamke awe vizuri kiasi gani ujauzito hautuaingia. Au kama mwanaume hata uume kusimama ni kwa ULEGEVU mkubwa na kwa taabu. Mwanaume husika itabidi ajue shida nini na atatue tatizo ndipo mambo yatatiki.
Lakini kwa upande wa mwanamke kuna sababu NYINGI ZAIDI. Hapa ndipo walisema sababu 7 kubwa. Mojawapo ilikuwa
1. Kuvurugika kwa hormones mwilini mwa mwanamke na uke kuwa mkavu hadi tendo la ndoa linakuwa karaha. Na kwamba hapo anahitaji kurutubisha mwili ili apate #libido (hamu ya tendo) na ute ute ule wa kutosha. Walieleza kwa kina zaidi.
2. Mbili ni Mwili kuwa ACIDIC. Hili nilikuwa sijawahi kusikia! So nikaweka umakini. Wakasema kuwa mbegu za kiume zinahitaji mazingira yasiyo ACIDIC ili kusurvive. Acid huua mbegu za kiume (sperms). Yaani kama mbegu zikiingia ukeni na zikakutana na acid ya kufa mtu basi hazitaweza kusurvive kabisa... zitakufa haraka kweli kweli kabla hata ya kuanza safari ya kuogelea kwenda kwenye yai (sperm race)
Hivyo ni muhimu sana kwa wewe mwanamke kuhakikisha unatengeneza mazingira ya mwili kuwa ALKALINE zaidi kuliko acidic. Walitaja vyakula vinavyoweza kufanya mwili uwe acidic kama nyama, na viungo kama limao, tomato sauce (ketchup), mayonize, pilipili, mahindi, ice cream, maziwa nk.
Wakaeleza pia vyakula vya kuongeza ALKALINITY mwilini kama mboga za majani na matunda hasa vyenye rangi iliyokolea (darker coloured). Pia kuna virutubisho maalumu vinavyosaidia mno kuongeza ALKALINITY mwilini kwa haraka na kwa kiwango muafaka na hivyo kuweka mazingira rafiki kwa mbegu za kiume kusurvive na kuweza kuogelea hadi zifike kwenye ovaries.
Nilisoma sababu hizo 7 zote kwa umakini na kugundua kuna sababu 3 ambazo nilikuwa sijawahi kujua kabisa. So niliwatafuta kwa namba zao na nilishangaa kuwa kulikuwa na kama tumaini moyoni japo kwa mbali.
Nisimalize uhondo. Kifupi nilipewa ushauri wa kipekee sana. Wa kitofauti. Na kufanyia kazi mambo yale matatu ambayo nilikuwa siyafahamu huko nyuma. Mwezi uliopita nikapata ujauzito. Mume wangu hakuamini. Alirukaruka kama mtoto. Mimi mwenyewe nilishangaa sana furaha niliyonayo wanaweza kuielewa waliotafuta ujauzito kwa muda mrefu!
Natarajia nami kuitwa MAMA. Hakika kila mtu ana siku yake asipokata tamaa! Nina mengi ya kuelezea lakini muda hautoshi.
Kama umehangsika kama mimi miaka 8! Au zaidi au una michache kuliko mimi nakushauri watafute hawa wataalamu watakusaidia sana!


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/05/simulizinilitafuta-ujauzito-kwa-miaka.html

No comments:

Post a Comment