πhii inatuhusu wanawake wakiislam tuliokua ktk ndoa.π
ππUsione kumtwii mume wako kua ni kero bali ni maharimsho ya Allah na ni pepo yako
ππUsijaribu kujitokea nje bila ya kuomba ruhusa kwa mume wako
ππUsitowe chochote ndani ya nyumba ima kumpa mtu au kupeleka kwenu bila idhini ya mume wako
ππUsipendelee kualika watu kuja nyumban kwako bila kumshauri mume wako
ππUsimkaribishe mtu haswaaa wanaume kujiingilia ndani bila ruhusa ya mume wako utakuja juta hata shemeji yako ana mipaka yake.
ππSiri zako mpe mume wako na sio kuzitoa nje utakua ni khaini inaweza kukupelekea kuvunja ndoa yako au utaleta utata katika ndoa yako.
ππMdomo na ulimi wako usiuchonge ukawa mrefu kwa mume wako ,daima uwe laini kwa mazungumzo na mume wako daima utajionea raha za ajabu ukifanya hilo kwani ulimi pia unaweza kukupelekea ukaivunja ndoa yako km Huna kauli nzur pind unaopoongea na mumeo
ππKua mpole wakati mume wako yuko juu ima amesirika ama anafoka ili umteremshe hasira zake kwani naww ukipandisha hasira zako hapo sheitwan yupo krb sana inaweza kukupelekea kuivunja ndoa yenu tahadhar sana kwa hilo
ππJiweke nadhifu kimwili, kimavazi, kwani wanaume walio wengi hupenda sana kuoa mke yuko msafi kimwili na kimavazi ,wanaume wengne hawapendi uchafu jitahidi
ππPunguza sana maneno mengi kwa mumeo wako Jua hilo utakua mmojawapo wa mke mwenye kero /gubu, maneno c mazuri upunguza upendo
ππHakikisha kila siku chumban kwako /kitandani kwako kunamuonekano mpya ,mume akiingia chumba apendezwa na chumban mwenu na kitanda mlaliacho ,hapo mapenzi hujengeka kwake juu yako ,,wanaume wengne hawapendi uchafu Jitahid kwahilo chumba kiwe smat
ππVitu vitatu Hakikisha unaviweka mvuto wa kila siku, macho yako ima kwa kuyapaka wanja, jicho likiwa na wanja linavutia, ukimuangalia mumeo inapendeza, na mdomo wako Hakikisha uko safi ima kwa kupiga mswaki, na miguu yako uko kwenye nyayo zako Chunga zisiwe kama msumeno na mengneyo unayoyaona ni mvuto kwa mume wako
ππJengo kila mbinu za kumfurahisha mume wako akuone hakuna mke kama Wewe na upunguze malalaniko yasiyo na msingi kwa mume wako
ππJichunge sana kupeleka mashtaka yako mara kwa mara kwenu ila likiwa kubwa hakuna budi wazee walijue, lakn mambo madogo madogo maliza, mwenywe
ππMakosa yaliyopita Usipendelee kuyarudia rudia au kuyatajataja mbele ya mume wako ujue warudisha hasira nyumbani kwako yaliyopita yamepita
ππKwa leo Tuishie hapa tujitahid kuyafanya kazi kwa Pamoja tunaweza kupigania ndoa zetu inshaAllah.
#Dumisha Ndoa Yako
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/05/post-hii-ni-maalum-kwa-wanawake-wenye.html
No comments:
Post a Comment