✍️Jinsi gani ya kukaza uk-e au ni namna gani kufanya u-ke uwe mdogo tena ni mada au somo lisilopendwa kuzungumzwa na watu wengi.
✍️Ikiwa wewe ni mmoja wa waathirika na tatizo hili basi tumia muda wa kutosha kusoma makala hii sasa hivi, irudie mara nyingi mpaka umeielewa.
✍️Kwenye makala hii nakwenda kukuonyesha baadhi ya mbinu za jinsi gani ya kurudishia tena uk-e mkubwa au uliolegea na kuwa mdogo tena ukiwa nyumbani bila kuhitaji kutumia matibabu mengine ya bei kubwa.
#KINACHOSABABISHA_UK-E_KULEGEA
🖍️U=ke kulegea au kuwa mkubwa zaidi unaweza kutokea kutokana na sababu nyingi. Kumbuka pia kushiriki tendo la ndoa mara chache Kwa Mwanamke aliyeolewa , siyo suluhisho la kuwa na u-ke mdogo. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa kuwa na uk-e mkubwa na kushiriki tendo la ndoa mara nyingi.
🖍️Pia hakuna uhusiano wa umri na ukubwa wa uk-e. Wapo Wamama watu wazima wana u-ke mdogo pia kuna Wasichana wadogo kabisa wana u=ke mkubwa kupitiliza.
🖍️Kama ilivyo kwa UU-ME kwamba Wanaume wana U-UME wenye ukubwa tofauti tofauti kadharika Wanawake nao kila Mwanamke ana uk-e wa ukubwa tofauti tofauti tofauti.
✍️Kwa kawaida hakuna Mwanaume anayependa kushiriki tendo la ndoa na Mwanamke mwenye uk-e mkubwa. Kuna tetesi zisizo rasmi kuwa hata Wanaume wanaopenda kushiriki tendo la ndoa kinyume na mau=mbile na Wake zao huanza tabia hiyo mara baada ya kuona u-ke umelegea kiasi cha kutokuwa na radha tena.
#Naijulikanekufir-ana_ni_dhambi
#SOMA1Wakorintho6_9
Fungua Bibilia usome kifungu hicho nimekupa
#Naijulikanekufir-ana_ni_dhambi
#SOMA1Wakorintho6_9
Fungua Bibilia usome kifungu hicho nimekupa
🖍️U-ke kulegea ni matokeo ya asili ya kuchakaa na kupanuka kwa kuta zake.
🖍️Mfano mara baada tu ya kujifungua misuli ya u=ke inalegea na kama hutachukua hatua mapema uk-e unaweza kupoteza hali ya kujibana tena na kurudi kwenye saizi yake ya awali.
🖍️Sababu kuu za uk-e kulegea na kuwa mkubwa ni pamoja na:
* Kuzaa mara kwa mara
* Uzito na unene uliozidi
* Kujifungua kwa upasuaji
* Kuinua vitu vizito mara kwa mara
* Mazoezi mazito ya mara kwa mara
* Misukosuko ya siku za nyuma katika nyonga
* Ukomo wa hedhi
* Maumivu sugu nyuma ya mgongo
* Kupiga chafya au kikohozi mara kwa mara
* Kufunga choo au kupata choo kigumu mara kwa mara
* Uzito na unene uliozidi
* Kujifungua kwa upasuaji
* Kuinua vitu vizito mara kwa mara
* Mazoezi mazito ya mara kwa mara
* Misukosuko ya siku za nyuma katika nyonga
* Ukomo wa hedhi
* Maumivu sugu nyuma ya mgongo
* Kupiga chafya au kikohozi mara kwa mara
* Kufunga choo au kupata choo kigumu mara kwa mara
✍️Mlolongo huu ni wa asili, hata hivyo kuna hatua unaweza kuzichukua na hivyo kurudishia kifaa chako katika hali ya kawaida kama msichana tena.
✍️Baadhi ya Wanawake hupendelea kufanya upasuaji maalumu ili kurudishia maumbile yao kuwa madogo jambo ambalo linaweza kuwa na athari kubwa kiafya hapo baadaye.
✍️Zipo njia za asili unazoweza kuzifuata kukusaidia kukaza tena kifaa chako ukiwa nyumbani na kwa namna za asili bila kukuacha madhara yoyote hapo baadaye.
🖍️Ili kufanya misuli ya u-ke ibane unaweza kutumia njia zifuatazo. Ukiweza jaribu njia 2 mpaka 3 tofauti kwa siku kwa matokeo yenye uhakika zaidi.
🖍️Mbinu mbalimbali zinazotumika kurejesha u-ke mkubwa au uliolegea
1. #Kula_chakula_sahihi
Moja kati ya njia nzuri zaidi za kupunguza ukubwa wa uk-e ni kula mlo sahihi ambao utasaidia kujenga afya ya misuli na kuta za u=ke kwa ujumla.
Kwa mjibu wa utafiti ni kuwa unatakiwa ule zaidi vyakula vyenye kuhamasisha uzalishwaji wa homoni ya estrogen vyakula kama👉 (a)uwatu
(b)komamanga
(c)ufuta
(d)maharage ya soya na bidhaa zake
(d)karoti
(e) tufaa (Apple)
(f) viazi vikuu (yams) nakadhalika
(b)komamanga
(c)ufuta
(d)maharage ya soya na bidhaa zake
(d)karoti
(e) tufaa (Apple)
(f) viazi vikuu (yams) nakadhalika
🖍️Vile vile hakikisha unakula vyakula vya asili zaidi na siyo vya dukani au kwenye makopo au kwenye migahawa.
✍️Matunda fresh yanaweza kukusaidia kuwa na harufu nzuri u-keni na kuwa na uk-e wenye afya.
✍️ Vile vile kunywa maji mengi kila siku iendayo kwa Mungu na hivyo utakuwa na shepu nzuri ya mwili wako.
2. #Jeli_ya_mshubiri_freshi
Kutumia jeli ya mshubiri au aloe vera ni moja ya njia rahisi ya asili ya kukaza uk-e wako. Kutumia njia hii kwangua jeli (utomvu mweupe) wa ndani wa jani la mmea wa mshubiri ukiwa freshi na upake sehemu yote ya ndani ya u=ke wako mara 2 hadi 3 kwa siku kwa wiki 3 hadi 4 na hutakawia kuona matokeo mazuri.
Matumizi ya jeli ya aloe vera kusaidia kupunguza uwezekano wa uk-e kulegea.
Aloe Vera ni dawa asili iliyothibitika kukaza uk=e kwa asili bila madhara yoyote mabaya..
Ina vitamini nyingi zikiwemo vitamini A, C, folic acid, choline na madini kama zinc magnesium, calcium na sodium vyote hivi ni mhimu katika kuhamasisha kukazika kwa u=ke kwa ujumla.
Mmea huu wa asili hauna ugumu wowote katika matumizi yake. Tumia tu jeli kutoka katika jani freshi la mu-aloe vera na utumie vidole vyako kusambaza ndani ya uk=e.
Kama jeli hii ikichanganywa na mate kabla ya kupaka uk-eni inaweza kutumika kama dawa bora ya kulainisha pia u-ke mkavu na kufanya tendo la ndoa lenye kuvutia sana.
Nina uhakika kuwa hii siyo mara yako ya kwanza kusikia kuhusu kazi hii ya mmea huu. Mshubiri unatumika katika bidhaa nyingi za vipodozi za asili.
3. Zabibubata (Gooseberry)
Zabibubata ni moja ya dawa asili nzuri zaidi katika kukaza kuta za kifaa chako. Chemsha kwenye moto zabibubata 10 mpaka 12 ndani ya maji upate kama supu hivi nzito. Kisha mimina kwenye chupa safi na utunze sehemu safi na salama.
Pakaa hiyo dawa kila siku ndani ya u-ke wako dakika 10 kabla ya kwenda kuoga. Hii itaongeza uwezo wa kujibana tena kwa misuli ya kifaa chako.
Kwa hakika zabibubata ndiyo moja ya dawa asili za kubana u-ke wako tena ambazo unatakiwa uzijaribu huku ukiongeza matunda haya kwenye chakula chako kila mara.
4. Mtindi
Njia nyingine nzuri ya kushughulika na tatizo hili ambayo nataka kukufunulia kwenye makala hii kwako wewe msomaji wangu ni matumizi ya mara kwa mara ya mtindi. Hii ni kwa sababu mtindi unao bakteria wazuri wanaohitajika ili kuuacha u-ke katika afya nzuri muda wote. Vile vile ukitumia mtindi kila siku ni namna nzuri ya kutibu maambukizi mbalimbali katika u-ke.
Kikombe kimoja kwa siku (robo lita) inatosha. Unaweza pia kuweka kijiko kidogo kimoja cha chai cha mtindi ndani ya u-ke wako wakati unaenda kulala na uusambaze vizuri sehemu yote ya ndani ya u-ke wako.
Mtindi unaweza kutumia wa nyumbani au hata ule wa dukani ni sawa.
5. Kitunguu swaumu
Kitunguu swaumu kinaweza kuwa msaada katika kutibu baadhi ya maambukizi yaliyosababishwa na fangasi. Kutumia kitunguu swaumu mara kadhaa kwa wiki inaweza kuwa njia nyingine nzuri katika kusaidia u-ke wako kubaki salama na wenye afya.
Vile vile kitunguu swaumu husaidia kuondoa harufu mbaya katika kifaa chako.
* Chukuwa kitunguu swaumu kimoja
* Kigawanyishe katika punje punje
* Chukua punje 3 au 4
* Menya punje moja baada ya nyingine
* Kisha vikatekate (chop) vipande vidogo vidogo sana na kisu na uache hivyo katika hewa kwa dakika 10
* Meza kama unavyomeza dawa na maji nusu lita kila unapoenda kulala.
* Kigawanyishe katika punje punje
* Chukua punje 3 au 4
* Menya punje moja baada ya nyingine
* Kisha vikatekate (chop) vipande vidogo vidogo sana na kisu na uache hivyo katika hewa kwa dakika 10
* Meza kama unavyomeza dawa na maji nusu lita kila unapoenda kulala.
Namna nyingine nzuri zaidi ni kuviweka ndani ya kikombe kimoja (robo lita) cha mtindi freshi koroga vizuri na unywe na hii itakusaidia kupunguza harufu mbaya ya kitunguu swaumu huku ukipata faida nyingine mhimu zilizomo kwenye mtindi.
6. Mbegu za uwatu
Chemsha maji kikombe kimoja (robo lita) kisha tumbukiza vijiko vikubwa viwili vya mbegu za uwatu ndani yake na ufunike kisha acha kwa usiku mzima mpaka asubuhi.
Asubuhi kunywa hayo maji na ule hizo mbegu pia. Fanya zoezi hili mara 3 TU kwa wiki na uenndelee na zoezi hili mpaka kifaa chako kimerudi na kuwa kidogo. Hii inasaidia pia kupunguza uzito.
Mhimu – Wanawake wajawazito au wenye saratani ya matiti wasitumie dawa hii.
7. Unga wa mbegu za embe
Unga wa mbegu za embe ni dawa nyingine nzuri unaweza kutumia kukaza misuli ya u-ke wako uliolegea. Ukishakula embe chukua ile kokwa lake la ndani na uianike juani, ikikauka chukua na uisage upate unga wake.
Changanya unga huu na asali kidogo kisha pakaa ndani ya kuta na sehemu yote ya ndani ya u-ke kutwa mara 2 kwa majuma kadhaa na u-ke wako utarudi na kuwa wa kawaida.
Mbegu za embe ni chanzo kizuri cha wanga, mafuta, protini, vitamini E, nyuzinyuzi, magnesiamu, vitamini B12, asidi amino nyingi nakadhalika.
8. Vitamini E
Kwa mjibu wa utafiti kuhusu faida za vitamini E ni moja ya vitamini mhimu sana ambazo ni mhimu kwa ajili ya afya bora ya mwili. Inapendekezwa kama dawa ya kutibu kisukari na shinikizo la juu la damu wakati wa ujauzito.
Hata hivyo Wanawake wengi hawafahamu ukweli kwamba vitamini E ni dawa nzuri kwa u-ke mkavu na kufanya kuta za u-ke zenye afya na nguvu kama itatumika vizuri.
Unahitaji upate mafuta ya vitamini E na uwe unaweka u-keni moja kwa moja mara 1 kwa siku mpaka utakapopata uponyaji unaouhitaji. Huwa kama kidonge hivi lakini ni mafuta na kinapasukia chenyewe ndani ya u-ke na kusambaa bila shida yoyote.
9. Umhimu wa kufika kileleni
Moja kati ya njia nzuri zaidi zinazoweza kupelekea u-ke kukaza ni kuhakikisha unafikishwa kileleni unaposhiriki tendo la ndoa.
Utafiti wamethibitisha pasipo na shaka kuwa wakati Mwanamke anapokuwa anafika kileleni misuli yake ya u-keni hujikaza na kujifinya vya kutosha , kufika kileleni ni tendo linalofanya u-ke kujikaza na kuwa mdogo kwa asili.
Fanya utafiti. Kama una tatizo la kuwa na u-ke mkubwa kuna uwezekano mkubwa tatizo halihusiani na sababu nilizozitaja hapo juu. Kuna uwezekano mkubwa hufikishwi kileleni kwa kipindi kirefu au kwa miaka mingi tangu uanze kushiriki tendo la ndoa.
Kama Mume wako hajuwi ni dalili zipi Mwanamke huwa nazo anapofika kileleni mwambie atafute Posts za #Masomo yangu za JINSI YA KUJUA DALILI ZA MKE WAKO AFIKAPO KILELENI Zitamsaidia kumwelewesha.
10. Fanya mazoezi yafuatayo
KEGEL – Wakati unakojoa mkojo wa kawaida uwe unajizuia kwa sekunde 10 au 15 kisha unaendelea hivyo hivyo, yaani unakojoa kidogo unaacha kwa sekunde 10 tena unakojoa hivyo hivyo huku unapumzika mpaka unamalaiza.
Fanya zoezi hili mara 3 hadi 4 kwa siku ukienda kupata haja ndogo. Zoezi hili kwa mjibu wa utafiti linasaidia kukaza misuli ya u-ke.
SQUATS – Hili ni zoezi lingine zuri la kubana uk-e uliolegea. Ni kusimama na kuchuchumaa, kuchuchumaa na kusimama hivyo hivyo mara 15 kwa mizunguko mitano mara 2 kila siku. Zoezi hili linasaidia pia kuwa na maungo mazuri na faida nyingine nzuri za kiafya.
LEGS UP – Lala chali kisha nyanyua mguu mmoja juu kisha shusha chini na unyanyuwe mguu mwingine juu na ushushe chini hivyo hivyo mguu mmoja juu kisha chini, kisha mwingine juu chini ukichoka unapumzika kisha unaendelea hivyo hivyo kila siku kwa dakika 15 mpaka 20 mpaka kifaa chako kitapokuwa sawa.
Mambo mengine muhimu ya kuzingatia:
*Kuwa msafi kila mara
* Vaa nguo za ndani zinazotengenezwa kwa pamba
* Usitumie pafyumu zenye kemikali
* Vaa nguo za ndani zinazotengenezwa kwa pamba
* Usitumie pafyumu zenye kemikali
Njia hizi nilizozielezea hapo juu zote ni nzuri katika kurejesha katika size ndogo ya u-ke ulikokwisha kuwa mkubwa au uliolegea. Chakula na mazoezi pia ni mhimu kuzingatia kwa matokeo mazuri na yenye uhakika.
Wakati mwingine unaweza kuchelewa kuona mabadiliko lakini usikate tamaa endelea Kutumia njia moja wapo ya hizo mpaka umefanikiwa. Kwahiyo kama wewe ni mmoja wa watu wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo hili usiichukulie poa hii makala jaribu yaliyopendekezwa humu na uniletee mrejesho.
🔴NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE 🙏
NA MALAZI YAWE SAFI 🙏
NA MALAZI YAWE SAFI 🙏
.
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/05/jinsi-ya-kurudishauk-euliotanukaau.html
No comments:
Post a Comment