Sunday, May 10, 2020

🌹UMUHIMU WA KUVAA SHANGA NA KAZI ZAKE KATIKA SUALA ZIMA LA MAPENZI💏

November 2018 – Page 11 – My Blog

🌺KUFUNDANA RAHA 👗 Shosti asikwambie mtu kwa wanaume wengi wa Kiafrika wanapenda sana mwanamke kuwa na chachandu kwani wanakwambia zinawapa raha na utulivu wanapokuwa faragha. 🌸Chachandu zinapaswa kuvaliwa wapi?, ⏩🌸shosti si kila sehemu unavaa chachandu angalia na sehemu ya kuzivaa kwa sababu ukizivaa eneo la kazi utatafsiriwa vibaya, zile zinafaa kuvaliwa chumbani ukiwa na mpenzi wako tu. ⏩Unajua zile zinatungwa na uzi huenda ukazivaa na ikatokea zikakatika hivi utajisikiaje ukiwa sokoni halafu zikakatika lazima utaona aibu na wengine hudiriki kuziacha hapohapo. Cha kufanya shosti yangu vaa kwa raha zako wakati unahisi mumeo anataka kurudi nyumbani, ukishaoga na umeshajiandaa kwa kumpokea mume unaweza kuvaa chachandu kwani zitachangia kumuweka tayari mumeo. 🌹UMUHIMU WA KUVAA SHANGA NA KAZI ZAKE KATIKA SUALA ZIMA LA MAPENZI💏😍😍😘 ⏩Kiuno cha mwanamke💁👼👗 hupendeza zaidi na kuvutia kama kikipambwa kwa kukivalisha shanga,👙👙👙Nami nakupa maana na kazi ya shanga hizo

 1: UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO👙👙 🌻Kuna baadhi ya wanawake 👗siku hizi wanapenda kuvaa shanga 👙kama urembo,na kusema kweli kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza 👙👙na kuongezeka mvuto,Sio tu kwa wanaume bali hata kwa wanawake pia,ukivaa shanga kiuno chako kitapendeza😍😘😘 Kama unatamani kujaribu,ondoa uoga,kanunue kisha na wewe uvae pia 

2. HUONGEZA HAMU 😍NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPE-ANA RAHA😍💏♋ 🌻baadhi ya wanawake👗 tunapocheza ngoma,👯kiunoni huvaa kitu kinachoitwa kibwebwe ambacho hutufanya tufeel wepesi wa kukata miuno💃vivyo hivyo tunatakiwakuvaa shanga ya kufanya iwe rahisi kwetu kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.💃💃Na pia wanasema sio tu zinasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza mvuto mwanaume😍😍👶 akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.💏💏💏 

3. UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HA-MU YA KUPATA RA-HA MUMEO/MPENZI WAKO😍😍😍 🌻Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni barabarani au ndani ya basi,🚃azima mashine zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda ➡.Ki ukweli ukiziona shanga zipo kiunoni lazima upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli, ⏩Kwahiyo kama huna mazoea ya kuzivaa,👙na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye uwanja wenu wa kupeana raha na utamu,💋😘💏basi nenda kanunue shanga,kisha uzivae ukiwa peke yako kwa ajili ya kumsuprise mpenzi wako.💏❤❤ Utajua kama anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa bize kuzishikashika na kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana raha.❤😍💏😘 

4. UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU👌👌👌UPOOO💃 🌻Kuna baadhi ya wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia💏💏 ⏩Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika kama mwanaume husika atakuwa anaelewa maana ya hizo rangi za shanga.👌👌

 5. UNAWEZA UKAZIVAA ILI UJIONGEZEE RAHA WEWE MWENYEWE WAKATI WA KUPEANA RAHA Kiuno cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana ukikitomasa au ukikipapasa,lazima mwanamke apate raha.Ukiwa unapewa raha na mwanamke aliyevaa shanga,Wakati wa kupashana joto,usisahau kuzichezea shanga zake kiunoni.Kama style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike kiunoni pake basi peleka mikono yako,Chezea shanga kwa kuzipapasa kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda juu,au vyovyote unavyoweza.ukifanya hivyo hizo shanga zake zitakuwa kama zinamtekenya,na atapata raha na utamu wa kipekee sana.Utaenjoy makelele na miguno ya kimahaba atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho. Nyoneza kwa wale wasiopenda shanga KAMA UKIONA MPENZIO HAFURAHII SHANGA,UNAWEZA KUVAA CHENI,IWE YA GOLD AU SILVER...sababu ni kuwa ni raha sana kukipamba kiuno😋😋😋😋😋👯😜ili baby dady afurahie


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/05/umuhimu-wa-kuvaa-shanga-na-kazi-zake.html

No comments:

Post a Comment