Usiamini kupitia MANENO yake ⛔ kwa sababu anaweza KURUDI ILI KUHARIBU UPONYAJI ULIOPATIKANA๐๐
Nature ya walio PENDANA ๐ wakishindwa kuridhiana mpaka kuachana mara nyingi HUISHI KWA KUOMBEANAA MABAYA ili atakayeonekana yupo vizuri amcheke anayepitia magumu๐ฏ
Ifikapo wawili waliopendana wakipata FAMILIA ๐ช na Mali kidogo halafu wakaachana KAMWE HAPATAKUWEPO WA KUMHURUMIA MWENZIE ⛔ bali watakuwa na UTENGANO WA KI MAFANIKIO NANI AWE KWENYE UKOMBOZI BAADA YA WAO KUACHANA na hapo ndipo utabaini wazi atakayekuwa ameharibikiwa ndiye atakaye kuwa MWANZILISHI WA KUOMBA KURUDI ๐
Ujinga ni upi :-
▪ KURUHUSU MTU ALIYEKUUMIZA KURUDI AKILINI ๐ง MWAKO MWISHO KABISA ANASHUKIA MOYONI ๐ค
Kuuguza KIDONDA ambacho tayari kilipona halafu UKAUMIA PALE PALE kama sio KUKATWA ENEO HILO wallah hilo litabaki kuwa DONDA NDUGU ๐๐
Single Mother ๐คฐ๐คฑ MPOOOOOO๐ฃ️ ๐ข
Chukueni POINT HAPO wanaume hawakawiii KUZALISHA NA KUKIMBIA ๐♂️ kwa kuogopa MAJUKUMU ๐
Ole wako UMUDU KUMTUNZA MWANAE ATAKUJA ANAHURUMISHA HUYOOO ๐ฏ
Kama ukijitahidi sana kujitutumua kwa JAMII ooooh AWEPO KWA AJILI YA MWANAE TU ๐๐๐๐
Kumbuka MWISHO WA SIKU:-
▪ NILIKUMISS MUME WANGU ๐
MTOTO/WATOTO PAMOJA NA MALI VISIHUSISHWE NA UPENDO ๐ kwa sababu UPENDO ๐ NI MATENDO YA NAFSI๐ฏ

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/05/aliyeharibu-mwanzo-maana-yake-aliacha.html
No comments:
Post a Comment