πππππππ 1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
πππππππ 2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
πππππππ 3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!
πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ 5. Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye!
ππππππππ 6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao!
ππππππππ 7. Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote!
πππππππ 8. Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!
πππππππ 9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika! 10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!
π π π π π π π 11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha!
πππππππ 13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.
πππππππ 14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi. **HAYA DADA ZANGU HASIRA YAKO NAMBA NGAPI**
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/05/aina-za-hasira-za-wanawake.html
No comments:
Post a Comment