Kuna mambo mengi ambayo wanaume huwa tunadanganyana kuhusu tendo la ndoa. kila mtu anapenda kujisifia na kuna wanaume wengi tu wanapozungumzia tendo la ndoa basi huishia kudanganya, narudia huishia kudanganya. mfano utakuta mwanaume anakuambia “Jana nilipiga shoo usiku kucha, yule demu hawezi kunisahau, nilienda roundi tano… nikafanya hivi vile sijui na vile…”
stori hizi kwa mwanaume ambaye huenda raundi moja zinamchanganya na kuanza kuwaza, mbona mimi naenda moja au nina tatizo la nguvu za kiume na hapa ndiyo tatizo lenyewe huanza kwani kichwa kinachanganya mpaka basi. lakini kuna hizi picha za EX, unaangalia mecho unakuta inaenda mpaka dakika 45 kamaa tena yuko na wadada watatu lakini hamalizi. Wewe ukikumbuka dakika zako tano unaanza kuchanganyikiwa.
Unajiona wewe si mwanaume kamili, unaanza kuwa na msongo wa mawazo. Msongo huu wa mawazo kwanza unakupa kisirani ambacho unakipeleka kwa mke/mpenzi wako, lakini pia msongo huu wa mawazo unakufanya kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa au hamu kupotea kabisa, kitu ambacho hukuaminisha kuwa una tatizo la nguvu za kiume na kujiona huna maana.
Labda nikuambie kitu kimoja, kwenda dakika tano si tatizo kama ambavyo kwenda masaa mawili si ushujaa. lengo la kufanya mapenzi ni mwanamke na mwanaume kuridhika. Kama mwanamke wako haridhiki hata kama unaenda masaa kumi basi una tatizo, lakini kama anaridhika hata kama ni dakika mbili lakini zikiwa tamu basi huna tatizo. Naomba nisikuchoshe, kitabu cha Mwanaume sasa hivi ni shilingi elfu kumi tu.
kitabu hiki kinahusu watu wenye matatizo ya nguvu za kiume, watu ambao wana mashaka kwakua wanahisi wana maumbile madogo ya kiume, wanaume wwanaojichua na kuangalia picha za ngo-no na walio na uteja katika mitandao ya kijiamii na wanawake ambao wanaume zao wana matatizo hayo
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/acha-kujipa-presha-huhitaji-masaa.html