Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2020 Mkoa wa Mbeya na Arusha
Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2020 kuwa ni 701,038 sawa na asilimia 92.27 ya wanafunzi 759,000 waliofaulu.
No comments:
Post a Comment