Thursday, September 10, 2020

KIU YA UKUAJI YAWALETA BETIKA TANZANIA

Betika, kampuni ya michezo ya kubahatisha inayoongoza Kenya imetanua shughuli zake Tanzania ili kuboresha viwango vya michezo ya kubahatisha kwenye sekta.

Ufuatao ni utaratibu wa kujisajili, kulipa na kucheza Jackpot.

Kujisajili: Tembelea http://betika.co.tz/

Utahitajika kuingiza namba ya simu ili kuweza kujisajili

Utatumiwa code kupitia ujumbe mfupi kwenye simu yako. Ili kukamilisha usajili tafadhali

ingiza code ulizotumiwa kwenye ukurasa utakaojitokeza.

Utapokea ujumbe utakaodhibitisha kukamilika kwa usajili wako

 

Jinsi ya kulipia

Ni rahisi sana kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Betika, fuata maelekezo yafuatayo

kulingana na mtandao wako

 

Piga *150*01# kupata menyu ya Tigo Pesa

Chagua 4 “Lipa Bili”

Chagua 3 “Ingiza namba ya kampuni”

Chagua 2 “Ingiza namba ya kampuni”

Ingiza namba ya kampuni “545454

Ingiza namba ya kumbukumbu (namba yako ya simu)

Weka kiasi (Cha chini ni 1000)

 

Piga *150*00# kupata menyu ya M-Pesa

Chagua 4 “Lipa kwa M-Pesa

Chagua 4 “ Weka namba ya kampuni”

Ingiza namba ya kampuni “545454”

Ingiza namba ya kumbukumbu (namba yako ya simu)

Weka kiasi (cha chini ni 100)

 

Piga *150*60# kupata menyu ya AIRTEL MONEY

Chagua 5 “Fanya malipo”

Chagua 4 “Ingiza namba ya kampuni”

Ingiza “545454″

Weka kiasi (cha chini 100)

Ingiza kumbukumbu namba (namba yako ya simu)

 

Jackpot za Betika

Betika Tanzania ina jackpot ya kila siku na haina ubishi kuwa ndiyo jackpot rahisi Zaidi kucheza. Kupitia Betika unaweza kushinda Tsh 1,000,000 kila siku kwa dau la Sh 250 tu! Kwa kuzingatia masharti na vigezo ya ofa zingine zilizopo sokoni, Jackpot ya Betika ndiyo jackpot inayokua haraka kwa sasa nchini Tanzania na tayari imeshapata washindi 6 kwa mwezi uliopita. Ili kucheza Jackpot tembelea tovuti ya https://ift.tt/3bKBgWV. Ni rahisi kihivyo!

 

Bonus za Betika

Betika.co.tz inawapa wateja wake bonasi kadhaa. Wana deposit bonus ambapo mteja anapewa bonus akifanya malipo kuanzia Tsh 2000 na kuendelea na pia bonus ya usajili ya Tsh 1000 anayopewa mteja anapojisajili. Bonus ni nyongeza kwenye dau lako na kinachofurahisha zaidi ni uwezo wa kucheza nayo na kushinda!

Sasa unajua kwanini betika.co.tz inakua kwa kasi kwenye ulimwengu wa michezo ya kubahatisha.

Ulimwengu wa michezo ukiwa na hamu ya kuungana tena na mpira wa miguu hata kwa masharti, ni hakika inasisimua sana kwa wapenzi wa mpira miguu kupata jukwaa ambalo sio tu watapata mechi live bali wataweza kubet na kushinda mamilioni.



source http://www.bongoleo.com/2020/09/10/kiu-ya-ukuaji-yawaleta-betika-tanzania/

No comments:

Post a Comment