Wednesday, April 1, 2020

LEO TUZUNGUMZIE UMBALI (DISTANCE) BAINA YA WAPENZI AU MUME NA MKE SOMA VIZURI UTANIELEWA.

Ukiona mpenzi wako yuko mbali na ww yawezekana muko mikoa tofauti kikazi!!, mwanzo mulikuwa vzr tu!!chatting za maana, call kila muda, kila weekend au kila mwenzi ulikuwa unaenda kumtembelea unakaa hata siku tatu ndio unarudi mkoani kwako na usipoenda anakulilia uende..muda mwingine ukitoa udhuru munkosana kabisaa ..!!lakini ghafla mawasiliano yameanza kusuasua!!!ukimuambia unataka uende anakupa sababu nyingi mara ooh kazi zimekuwa nyingi, mara nimesafiri kikazi, mara nimetingwa kidogo..mara sijui sina mapumziko!!na hiyo hali ikaenda mfululizo hata miezi minne!hataki kabisaa umtembelee ndugu yangu wala usianze kuumiza kichwa jua tu huko aliko kuna mahusiano mengine kaanzisha..yawezekana kamwambia sina mume au mke!!au kamuambia mpenzi wangu hatuko sawa!!au kamuambia nilikuwa na mpnz tukaachana!!au kamuambia tunamigogoro na mtu wangu nashughulikia talaka!.na huyo mpnz aliye naye huko si wa kubahatisha eti...ni mtu anayempikia!!wanakula na kulala pamoja..huyo mtu anaenda kwake anavyojisikia..na huyo mtu anapakua awezavyo msosi wako!!!!....na baya zaidi ukiona kukuruhusu kwenda kwake umetoa jasho sana!!yaani mpaka mukanuniani!!/ ndugu yangu jua hata ukienda huko utafichwa ndani kama mwali!!!na atahakikisha hakuna hata mtu anayekuona kama umekuja!!yote hii ni kwakuwa amezoeleka kuwa na mtu mwingine wewe na kuforce force kwako unaonekana kama umetibua ratiba za watu!!na si ajabu mpk kukuruhusu kwenda amepambana sana kwa huyo mtu aliyeko naye huko na huenda hayupo kasafiri!!na ukisema unaenda kukaa siku tatu ukitaka kuzidisha huo ugomvi utaotokea hapo bila malaika wa zamu kuingilia kati unaweza kutolewa begi lako nje!!!UKIONA HAYA YANAENDELEA KWA MKEO AU MUMEO ALIYE MBALI NA WW KIMASOMO AU KIKAZI !!HUU UJUMBE NI WAKE UP CALL YAKO..ACHA KUZUBAAA WATU WANAPAKUA NA KUPIKA HUKO ......#COUNSELLOR
@KIBONDE


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/leo-tuzungumzie-umbali-distance-baina.html

No comments:

Post a Comment