Mtu anapokudanganya kwamba anakupenda na Wewe ukajitoa, ukashiriki na kumpa muda na mwili wako ATAFAIDI NINI KWA MATESO ANAYOKUPITISHA NAYO? Ni kweli yeye anajua Mimi sio wake ndo maana anaweza kunihadaa๐๐ฟโโ lakini yuko MUNGU. aliyenifanya niwe kama nilivyo kwa THAMANI kubwa ama ndogo atamfanya mwingine awe wangu๐
Bin adam wamegeuka kuwa wanyama๐ wa nafsi lakini wanatajwa kama watu๐บ๐
Raha iliyo na UPONYAJI kwa nafsi yangu ni kwamba UWAPO DUNIANI USIJIONE UMEMALIZA MATATIZO YAWEZEKANA LEO UNAFURAHIA ILA KESHO YAKO HUIJUI! Kila gumu linapokuja tarajia kwamba JEMA LIKO MBELE YAKO wala usilie kwa kudhani MUNGU HAONI TESO LAKO ni muda pamoja na subra UTAPOKEA HAJA YA MOYO WAKO ๐
Uambie MOYO wako uwe mvumilivu, Ufundishe MOYO wako kungojea, Ukumbushe MOYO wako kwamba sio wewe tu unapitia MAGUMU wapo ambao wanayo magumu kuliko hilo la kwako, Usikubari kukata tamaa HURUMA YA MUNGU IKO MBELE YAKOโช๐
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/kuna-wakati-tunapashwa-kukubari_25.html
No comments:
Post a Comment