Friday, April 24, 2020

Mwanamke hivi unajua kuwa MWANAUME ANASIKIA RAHA ZAIDI AKIKUTAZAMA KABLA HATA HUJAMPA NAFASI YA KUUTAZAMA UTUPU WAKO.

Mwanamke fahamu jambo hili litakulinda daima;
Mimi sijui kama ni TEMBEA YAKO ama ni vile UNAVUTIA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Image result for MAISHA YA UPENDO YA MUME & MKE YANAJIONYESHA KWA MAMBO YAFUATAYOInawezekana Mwanaume akakupenda zaidi hata kabla ya kumvulia nguo๐Ÿ‘™
Kuamini hilo ni wewe mwenyewe kujiuliza MWANAUME ALIKUPA AMANI WAKATI UPI KATI YA KABLA HUJAMVULIA NGUO AMA WAKATI UMEMVULIA NGUO๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Japo najua udhaifu wa Mwanaume ndo maana naweza kukiri wazi MWANAMKE HUMPENDA MWANAMKE KABLA YA KULALA NAE๐Ÿ’ฏ na akiisha kuwa amelala nae HUKINAI maana yawezekana hakuna jipya baada ya kupata lililo hitimisho ๐Ÿ‘™
Muda Mwingine haya MAPENZI ni kama BAHATI unaweza kuwa huna wazo la kuingia penzini lakini akaja Mtu wa hisia zako ukajikuta UMEZAMAAAAA๐Ÿ‘Œ
Lakini usiyajaribu MAPENZI kwani yakiwa sio yako utapata taabu sana, Maana KIPENDA ROHO KULA NYAMA MBICHI ila nikwambie wazi ni hasara kubwa KUPENDA USIPOPENDWA๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
#Elista_kasema_ila_sio_sheria ๐Ÿ”จ

Image may contain: one or more people, people standing and outdoor


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/mwanamke-hivi-unajua-kuwa-mwanaume.html

No comments:

Post a Comment