MWALI WANGU CHANZO CHA KWANZA KIKUU CHA MWANAUME KUPUNGUZA MAPENZI JUU YAKO HUANZIA KUNAKO SITA KWA SITA
USIFANYE MAKOSA KITANDANI MWALI WANGU MWANAUME NI KM MTOTO MDOGO MPETIPETI😍👌🏿KWANI HUJUI KUA MWANAUME NI MWANAO?MWANAUME NDIO FIRST BORN WAKO
🌹mpende
🌹muogeshe
🌹mlishe
🌹mbebe alale😍🔥
🌹mpe mautamu😋
🌹mvalishe nguo
🌹mpepee akisikia joto
🌹akisikia baridi mpe joto😍👌🏿 TIBA YA MAJIMAJI UKENI
CHUKUA MAJI YA DAFU KAMULIA NA LIMAO MBILI UWE UNAKUNYWA ANGALAU MARA MOJA KWA WIKI MAJIMAJI UKENI YATAISHA
KUNYWA MAZIWA MTINDI ANGALAU MARA TATU KWA WIKI KWA AFYA YA UKE WAKO NA KUKATA MAJIMAJI YASIOKUA NA MPANGILIO UKENI
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/wanawake-tu-njoo-nikufunde-tiba-ya-kuwa.html
No comments:
Post a Comment