Sunday, April 26, 2020

UKIBAHATIKA KUPATA MWANAMKE WA NAMNA HII OA HARAKA HUYO!!

Kama ukibahatika kupata mwanamke bora ambae anakujali kuliko anavyojijali yeye mwenyewe, nenda kwa wazazi wake, ukachumbie haraka ili jamaa wengine wasimuwahi au peleka kwa kiongozi wako wa dini kisha muoe yeye.
Kwa sababu, slay queens, wadangaji, na drama queens ni wengi mno hasa kipindi hiki cha COVID- 19, kutokana na hali ya uchumi kuteteeeka. Wanajali zaidi kope zao za kubandika zisibanduke au mawigi yasiende upande kuliko kujali status ya mwanaume wake na hatma ya maisha yao ya baadae.
"ITUNZE NDOA YAKO" whatsApp group 0717 442 212.
Au bonyeza link hapo chini ikupeleke moja kwa moja kwenye whatsApp inbox yangu
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Share
Like Page


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/ukibahatika-kupata-mwanamke-wa-namna.html

No comments:

Post a Comment