Sunday, April 26, 2020

*Nawakumbusha tu* ๐Ÿƒ๐Ÿ‡mambo matatu muhimu usiache kumuuliza mumeo wakati anarudi nyumbani.

 ๐Ÿƒ๐Ÿ‡baada ya salaam na kumpokea mizigo au kitu chochote alicho beba ๐Ÿƒ๐Ÿ‡kama hana alicho beba basi mshike mkono huku ukimuegemea katika bega lake. ๐Ÿƒ๐Ÿ‡mkifika sebuleni kama kuna watoto mvute mumeo mpaka ndani ๐Ÿƒ๐Ÿ‡mvue shati muache akae kama dk 5 halafu muulize, ๐Ÿƒ๐Ÿ‡mumeo mume wangu chakula tayari, maji yakuoga yako tayari na mimi mwenyewe nipo tayari utaanza na kipi? ๐Ÿƒ๐Ÿ‡ wallah mama zangu dada zangu ndoa zeni zitadumu bila kupata dosari ........โ™ฅ๏ธ๐Ÿ‡ukiyapenda chukua ๐Ÿ‡โ™ฅ๏ธ SIRI AJABU ILIYOMO NDANI YA MAHUSIANO
Watu wengi wanapata uzoefu wa mapenzi kutoka kwenye maadili ya tamaduni mbalimbali zinazofahamika. Tunaamini kuwa mapenzi yanaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye maisha. Mtazamo wa kimapenzi unaotokana na tamaduni mbalimbali unajenga taswira ambazo sio sahihi, mitazamo yao ipo kwa ajili ya kuburudisha tu na wengi tunafikiria kuwa hayo ndiyo mapenzi. Mtu anapopenda mno kiasi cha kuwa na wazimu wa kimapenzi wengi huwa tunafikiria kuwa huo ndio upendo. Tatizo linalojitokeza ni kwamba tunapogusa dhana ya mapenzi ya dhati wengi wanakufa mioyo kwasababu kuna vitu vingi havipo kwenye maadili ya tamaduni zetu. Baadhi wanahitaji waone jinsi ya kupenda kulingana na maadili ya mapezi ya kweli. Inawezekana kabisa na sio kuwezekana tu lakini pia tunataka ubadilishe mtazamo wako wa kupenda. Hebu fuata mtiririko huu ili kupata kile unachokihitaji;- jinsi ya kupenda na kupendwa. โ€ข Tambua tofauti iliyopo kati ya tamaa na upendo. Tamaa ni hali ya kisaikolojia ambapo mtu anakuwa na upendo wa msisimko unaosababisha kuzalishwa kwa homoni za mwili, tamaa haidumu. โ€ข Mapenzi ni mbinu ya kujifunza, sio kitu kinachotokana na homoni au mhemko mtu mmoja alisema kuwa upendo niโ€tendo la hiariโ€ usipo jifunza jinsi ya kupenda ni dhahiri utaumizwa tu, hii ni kwasababu utakuwa huna uzoefu. โ€ข Jifunze mbinu za mawasiliano. Hii ndio njia pekee ya kukuza uamifu na ukaribu. Jinsi unavyozidi kuwasiliana na yule umpendae ndivyo unavyopunguza kiwango cha kuumizwa. Siku zote mfanye mtani rafiki na mshikaji ili mdumu


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/nawakumbusha-tu-mambo-matatu-muhimu_26.html

No comments:

Post a Comment