Tuesday, April 28, 2020

ACHA KUJIDANGANYA, HAKUNA MWANAUME MWAMINIFU KWA ASILIMIA MIA [100%]

Baadhi ya WANAWAKE wanapenda kuamini kuwa WANAUME zao hawawezi kuwasaliti ati kwa sababu labda wao ni wapole, wazuri, wanayo shape, labda wanayo makalio makubwa na wanajali.
Hii sio kweli. Wapo wanaume ambao wanawa-cheat wanawake zao wazuri zaidi ya Cleopatra Aisee.
Hivyo, kama Mwanaume wako hakusaliti, basi sio kwa sababu ya upekee wako bali ni kwa sababu ya AINA YA MWANAUME aliyochagua kuwa hivyo.
Uaminifu wa Mwanaume hauhusiani kabisa na uzuri wa mwanamke. Uaminifu wa Mwanaume ni yeye mwenyewe, uimara wake wa kukabiliana na vishawishi, kusimamia kiapo chake, aliye loyal na committed haswa..
Uaminifu sio jambo la mchezo mchezo wanaume wanapenda sana utii wa mwanamke kuliko kitu chochote,humpa raha na kujamini hata awapo kifuani kwake
Wewe fuga makalio au model ukidhani ndio silaha utaishia kuchezewa na kukimbiwa kama hujui kumhandle mwanaume ambae ana tabia ya panya kusaka shimo jipya kila siku!! -


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/acha-kujidanganya-hakuna-mwanaume.html

No comments:

Post a Comment