Machozi hayawez kumaliza machunguu yaliyo jaa ndan ya mioyo yetu na maisha yetu. Pale mambo yanapo tuzudia tunalazimika kulia ili kusudi vifua vyetu angalau vipunguze hasira..
Kulia sana hakukufanyi uweze rekebisha ulipo haribu wala kilioo hakiwez mfufua marehemu. Kumbe usije muonea huruma mtu sababu ya machozi yakee na wala Usitake watu wakuonee huruma sababu ya chozi lako.
Ukipata nafas ya kulia fanya hivyo maana inasaidia kuiweka akili sawa kuliko ukawa unajinunisha mda wotee. Lia kwa ajili ya afya yako usilie ili wakuone.
Chozi la mtu lina thamani. Epuka mtu kulia sababu yakoo.. Chozi la mnyonge lina malipo yake. Sku atalikumbuka chozi lako wakat huo utakuwa umenyamaza na unafuraha tele.....

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/machozi-pekee-hayawezi-kumaliza.html
No comments:
Post a Comment