Thursday, April 23, 2020

NAOMBA NIZUNGUMZE NA WANAWAKE AMBAO MPO KWENYE NDOA

`Ukweli ni kwamba jambo la msingi kwa mume wako si kile unachongea kwake bali ni namna unavyongea kwake. Inawezekana mume wako anao uwezo mkubwa sana kufanikisha maisha hata hivyo kutokana na ulivyo critical, blaming, kukosa heshima na adabu kwa mumeo imekuwa ngumu sana yeye kupiga hatua.
Hitaji la kwanza la msingi kwa mwanaume yeyote ni HESHIMA. Kila maamuzi yanayofanyika katika ndoa yanahitaji kufanyika kwa ushirikiano wa mke na mume. Kutoa sifa kwa mume wako ni njia ya maisha ya ndoa. Behind every successful and great husband, there is an honouring and praising wife.
Kumbuka Baba akifurahi, nyumbani kunakuwa na upendo, furaha na amani na pia nyumbani kunakuwa mahali salama kwa kukimbilia. Heshima kwa mumeo ni kitu cha kwanza katika ndoa yako.
```πŸ–πŸ»

Image may contain: 1 person, standing


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/naomba-nizungumze-na-wanawake-ambao-mpo.html

No comments:

Post a Comment