Sunday, April 26, 2020

USIISHI KULALAMIKA KILA MARA


kuna mda nyamaza hata kama una umia ila matendo ndo yapate kuongea sambamba na mafanikio yako
Kumbuka
Mwanaume anaweza poteza PESA nyingi sababu ya kutaka Wanawake lakin hakuna Mwanaume anae poteza Wanawake weng sababu ya kutafuta Pesa
Pia DADA tafuta pesa maisha na mapenz yapo tu.... Ukiwa na pesa yako uta jiamin ila ukitegemea ya kuhongwa uta nyanyasika sana


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/usiishi-kulalamika-kila-mara.html

No comments:

Post a Comment