Inapotokea mnatazamana,mwanamke na mwanaume,Kama macho yanaambiana,tuangaliane,,,yaaani ghafla paaah unamtazama na yeye anakutazama alafu Kama hataki kuendelea kukuangalia,anakwepesha.
Akirudi kukutazama na wewe unamtazama tena,anakwepesha.
Yawezekana kwenye mkusanyiko wa halaiki ya watu,au kwenye vyombo vya kusafiri (usafiri wa umma)
Yawezekana kwenye mkusanyiko wa halaiki ya watu,au kwenye vyombo vya kusafiri (usafiri wa umma)
Uenda ujui kwa Nini,ni hali ya nafsi na moyo kusema lugha moja,yaani kabla macho ayajaona nyie mlishapendana ni kitu cha kuongea tu kulipitisha,kwa maana dk 4 zinatosha nyie kupendana kinachoendelea ni nyie kuuthibisha upendo wenu kwa vitendo.
ANGALIZO.
Kwa kugongana sio mwanaume awe kinara tena kwa kulazimisha hata kumkonyeza,hiyo tamaa.
Nilichokisema ni tazama nikutazame kugongana macho,tena Kama ni mwanamke ukimtazama unaliona tabasamu la mahaba kabisa,anaenjoy mkitazamana.

Tafadhali yawezekana ndio wako alibakia,ukimpoteza huyo kumpata Tena ngumu,siku akitokea usikubali kumuacha kama ni kwenye dala dala hakikisha ushuki mpaka yeye atakaposhukaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ukweli usipoteze fursa kumpata wa kufanana na wewe ni mtihani.
Ukweli usipoteze fursa kumpata wa kufanana na wewe ni mtihani.
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/vipi-kwako-na-wewe-lilishakukuta-hili.html
No comments:
Post a Comment