Ni rahisi sana kuwa BABA kuliko kuwa MUME, vilevile ni rahisi sana kuwa MAMA kuliko kuwa MKE, ππvipi nimewachanganya eennhhh!!!
Iko hivi, Mama na BABA wanatokana na kujamiiana, ila Mke na Mume wanatokana na MAPOKEO YA NAFSI kwamba Mtu Mme atampenda Mtu Mke na kwa pamoja watakuwa na sababu ya kuwa wamoja, hapo vipi tumeelewana!!!...π€π€
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/ni-rahisi-sana-kuwa-baba-kuliko-kuwa.html
No comments:
Post a Comment