Wednesday, April 1, 2020

"Najua kuna wakati unakumbuka kila kitu kuhusu mahusiano"


Nafahamu kuna wakati una miss memories nzuri ulizokuwa unapata kwenye mahusiano,
Una miss outings, una miss pillow fights na michezo yote, unamic love kwa ujumla wake.
Labda kuna wakati unakaa na kufikiria labda ningefanya kitu flani ima nisingefanya kitu flani labda bado mahusiano yake yangekuwa hai.
Naisemea nafsi nyonge, nafsi ilo pekee, nafsi iso mwenza, nafsi inayopigwa baridi wakati jua limezama na kiza kutanda.
Upweke usikufanye kuingia kwenye mahusiano mapya, kuwa mvumilivu ukiupa moyo muda wa kupumzika.
"Ujapo usiku wa baridi kali kumbatia mto," mvua na jua tembea peke yako.
Ruhusu marafiki na watu wa karibu kukusaidia ku over come maumivu yako
Lakini kamwe usiruhusu maumivu yako yakuwahishe kwenye mahusiano mapya


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/najua-kuna-wakati-unakumbuka-kila-kitu.html

No comments:

Post a Comment