Thursday, April 2, 2020

๐Ÿ‘ฉ๐Ÿผ‍๐ŸฆฐMWANAMKE huridhika na vitu vidogo vidogo sana kutoka kwa Mwanaume wake

๐Ÿ‘ฉ๐Ÿผ‍๐ŸฆฐMWANAMKE huridhika na vitu vidogo sana hususani pale tu MWANAUME alienae anapoonyesha kumheshimu kumjali na kumthamini .
Vitu vinavyo mfurahisha mwanamke kujionaa kwa mwanaume kuwa anathamani kubwa moja wapo ni NDOA na sio SEX icho ndicho kitu kinacho mfurahishaa kila mwanamkee alie katika mahusiano yenye tija ndani yake.
-๐Ÿ—ฃWakikukatisha tamaa na kukwambia haiwezekani hakikisha Next time wanakutumia kama mfano katika kuelezea wengine kuwa ni jinsi gani inawezekana.๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช.
๐Ÿ™๐ŸผMuamini mungu katika kila jambo maana kwake hakuna linalo shindikana.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/mwanamke-huridhika-na-vitu-vidogo.html

No comments:

Post a Comment