Wednesday, November 27, 2019

Nafasi Za Kazi Bahi, Dodoma | Wanahitajika Watu wa Kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga kura

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Bahi anapenda kuwajulisha kuwa, zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Kata zote za Halmashauri ya Wilaya ya Bahi linaanza hivi karibuni.

Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la  Wapiga kura Vituoni, watatumika Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Opeators.

Hivyo anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo:

Kwa maelezo ya ufafanuzi wa Tangazo, Sifa za Waombaji wa nafasi (Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators), Majukumu yao na Mambo ya kuzingatia wakati wa kutuma maombi.

<<Bofya hapa: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA>>

Pia kuna matangazo mengine mengi ya Kazi mbalimbali yaliyotangazwa wiki hii.

No comments:

Post a Comment