Tuesday, April 21, 2020

*UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME:*


*```1. Kwenye mshituko;```*
Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshituaπŸ˜‚ πŸ˜‚
*```2. Kwenye kupenda;```*
Mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendaeπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
*```3.Kwenye kusaidia;```*
Mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika πŸ˜‚ πŸ˜‚
*```4.Kwenye maamuzi;```*
Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚
*```5.Kwenye kudanganya;```*
Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
*```6.Kwenye ugomvi;```*
Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, ```kesho tena``` πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
*```7.Kwenye ndoa;```*
Mwanaume hutafuta maixha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maishaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
*```8.Kwenye kukata tamaa;```*
Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
*```9.Kwenye kula;```*
Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu hakushiba πŸ˜³πŸ˜³πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
*```10.Kwenye siri;```*
Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana nae baada ya kumrudia mwenyewe kwa siku 2 tuπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
*Hizi ni baadhi tu ya sifa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke, ila zipo nyingi...*


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/utofauti-kati-ya-mwanamke-na-mwanaume.html

No comments:

Post a Comment