Tuesday, April 21, 2020

NGOJA LEO TUONGELEE TENDO LA NDOA KIUFUPI

Young Black Couple Dancing At Home, Copy Space Stock Image - Image ...

1. KWAMBA MWANAUME YUKO TAYARI MUDA WOTE:*
......πŸŽ€πŸŽ€ _Hili huwahusu tu baadhi ya wanaume wanapokuwa katika umri wa ujana (teenage) ambapo homoni zao zinakuwa katika hali ya kupamba moto, lakini haiwahusu wale wenye umri wa miaka ishirini na kuendelea. Katika umri huu kijana anakuwa na mambo mengi yanayoishughulisha akili yake, jambo linaloweza kupunguza na hata kuharibu raghba yake.... wafikishieni na wanaume_
*2. KWAMBA TENDO SIO ZAIDI YA TENDO:*
.....πŸŽ€πŸŽ€ _Mara nyingi mwanaume hufanya tendo la ndoa kwa hisia ya kwamba ni mtu anayependwa na kuhitajiwa._...... πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€ _Wakati fulani mwanamke anaweza asikubali kwamba tendo la ndoa ni njia mojawapo ya mwanaume kuelezea upendo wake, lakini ukweli hivyo ndivyo ilivyo._
......πŸŽ€πŸŽ€ _Mwanaume anapotaka kukwambia: “Ninakupenda” anaweza kuchagua njia ya kufanya tendo; akihisi unyonge, atakimbilia tendo la ndoa ili ahisi kuwa bado ni mwanaume. Akihisi udhaifu baada ya maradhi, atataka kufanya tendo la ndoa ili kuonesha kuwa yuko vizuri. Akitaka kukuomba msamaha, anaweza kukimbilia tendo la ndoa. ...... πŸŽ€πŸŽ€ Unapomkatalia tendo, ni kana kwamba unamwambia: “Sikupendi na sikutaki”...._
*3. MAMBO YALEYALE:*
......πŸŽ€πŸŽ€ _Bila shaka hutarajii mumeo kula chakula cha aina moja siku zote. Hivyo, anapopandwa na mhemko wa tendo kwa nini usibadilishe mtindo? Hakika ubadilishaji wa mitindo katika tendo huleta ladha na msukumo mpya......._
πŸŽ€πŸŽ€ *Mwisho* πŸŽ€πŸŽ€


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/ngoja-leo-tuongelee-tendo-la-ndoa.html

No comments:

Post a Comment