Friday, April 3, 2020

MWANAUME KAMA UNATAKA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO NA MCHUMBA/MKE WAKO EBU JARIBU YAFUATAYO:



Mbinu za Kutongoza: 2019
πŸ’šJifunze kusamehe madogo madogo
πŸ’šJifunze kuomba msamaha
πŸ’šChunguza na ujue kitu gani anapenda zaidi ufanye au umfanyie ILI UFANYE UYAFANYE pia Chunguza ni mambo gani anachukia ukiyafanya au ukimfanyia ILI UYAEPUKE
πŸ’šAcha tabia za kitoto kama unazo
πŸ’šUsipende kuwa bize saana kuchati wakati upo nae
πŸ’šEpuka kumdanganya mara kwa mara
πŸ’šPendelea kumpa zawadi ndogo ndogo mf. Hata hereni za elfu 1
πŸ’šMueleze ndoto zako na mipango yako ya baadae kwake
πŸ’šPunguza hasira za mara kwa mara
πŸ’šMfanye afurahi anapokuwa nawe sio unakuwa sura mbuzii tu.
πŸ”₯AYO NI BAADHI TU ILA YAPO MENGI
πŸ‘‰πŸ‘‰ILA KUMBUKA SIO KILA MWANAMKE UTADUMU NAE HATA UKIFANYA YOTE HAYO. KWA SABABU WANAWAKE WENGINE HUWA NA TABIA ZISIZOWEZA KUVUMILIKA KAMA VILE KUDANGA N.K
πŸ™πŸ™πŸ™Nashukuru kama umenielewaπŸ™πŸ™πŸ™


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/mwanaume-kama-unataka-kudumu-katika.html

No comments:

Post a Comment