Tuesday, April 21, 2020

KHAA! IVI KUMBE WANAWAKE WENGI SIKU HIZI WAKIACHWA WANALIA SI KWASABABU ALIPENDA ILA HUWA NI KWA SABABU HII!

Wanawake wengi miaka ya sasa wanaumia na kulia sana wakiachwa sio sababu ya mapenzi sababu ya matunzo ya huyo mwanaume
πŸ˜‚πŸ˜‚wewe kumpata mwanaume mpya anakupa laki tu ya matumizi aulizi ya nini kama wanaume wasikuizi si mchezo..
Unamkuta mtu analia sio kwa ilo kwa mengi...
Mwalimu Bemasha sauti niongeze


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/khaa-ivi-kumbe-wanawake-wengi-siku-hizi.html

No comments:

Post a Comment