Saturday, April 18, 2020

CHUKUA HII KUHUSU MAFANIKIO ITAKUSAIDIA:


πŸ—¨Tunakwama Wapi Kwenye Mafanikio??!
πŸ’¨Muda huu baadhi ya watu wengine wamelala wanaota mafanikio, wakati wengine wameshaamka wanafanya kazi.
πŸ’¨Yakupasa ujue mafanikio sio vitu ulivyokamilisha kwenye maisha yako, bali ni nini ulichowahamasisha wengine kufanya na wakafanikiwa kupitia wewe.
πŸ’¨Mtu mwenye mafanikio ni yule anayeweza kujenga msingi imara kwa kutumia matofali mabovu yaliyotupwa na watu wengine.
πŸ’¨Njia mbaya ya kufanikiwa ni pale unapojaribu kutafuta mtu ambaye ana furaha kwaajili yako.
πŸ’¨Usijaribu kuwa mtu mwenye mafanikio, bali jaribu kuwa mtu wa thamani kwa thamani hukupa mafanikio.
πŸ’¨Hakuna siri nyingine ya mafanikio, bali ni matokeo ya maandalizi, kufanya kazi kwa bidii na kujifunza kutokana na kushindwa.
πŸ’¨Mafanikio ni kupita kutoka aina moja ya kushindwa hadi nyingine bila kukata tamaa.
πŸ’¨Tuhitimishe hivi Mafanikio ni kupata unachotaka, furaha ni kutaka unachopata.
Okota hata moja Itakusaidia.............πŸ’₯


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/04/chukua-hii-kuhusu-mafanikio-itakusaidia.html

No comments:

Post a Comment