Friday, January 31, 2020

SMS TAMU ZA MAPENZI "ZITAKAZOMNYEGEZA" MPENZI WAKO

Kitambo nilikuwa nikipitia sms za mapenzi na kuzisoma lakini sikuona umuhimu wake. Kile kitu ambacho nilikuwa nikiaminia ni mistari yangu ambayo nitaimwaga mbele ya mwanamke. Katika maswala ya kutumia sms za mahaba hazikunigonga kichwa kabisa.



So siku moja katika pitapita zangu katika mitandao, nikakumbana na meseji moja nzuri nikaona hebu nijaribu uwezo wa meseji hii. Meseji yenyewe ilikuwa inasema hivi, "Itunze meseji hii kwa kuwa ni uthibitisho wa penzi langu kwako". Kimzaha nikamtumia mpenzi wangu aliyekuwa yuko mbali na mimi. Akajibu kupitia sms, "Asante mpenzi wangu. Nashukuru kwa mapenzi yako". Kwa kuwa sikutilia maanani na nilikuwa naamini meseji za mahaba hazina umuhimu wowote, sikushughulika.



Well, amini usiamini, baada ya mwaka mmoja na nusu niliweza kukosana na huyu mwanamke kwa sababu ya jambo dogo tu. Kilichonishangaza nikuwa  ile meseji ambayo nilimtumia mwaka na unusu iliyopita kumbe bado alikuwa nayo. Mwanzo alikuwa ameisave katika sehemu maalum kwa simu yake. Nilishangazwa, nikacheka ndani yangu halafu nikamwambia, "Pole mpenzi, siwezi kuharibu penzi letu kwa sababu ya mambo madogo madogo."

Tangu hio siku nikatambua nguvu iliyopo ndani ya sms hizi za mapenzi. Zina nishati ambayo ukitumia vizuri kwa mpenzi wako, hatazisahau kwamwe.
Kitabu hicho cha Mahabati tulikiandika tangu mwaka wa 2016 so ninaamini maneno hayo matamu ya mapenzi yatakuwa yametumika sana na hadi sahizi yanasaidia watu.

Tukirudi katika mada ya leo  ni kuwa tumekuja na orodha ya sms za mapenzi ambazo utazitumia kwa mpenzi wako leo. Inaweza kuwa ni girlfriend wako, mke wako, rafiki yako ama yule ambaye unamfukuzia. Sms hizi zina maneno matamu ya mapenzi ambayo yanaweza kumsisimua yeyote yule ambaye utamtumia. Pia sms hizi za mahaba ndio mara ya kwanza tunazichapisha kwa mtandao hivyo nyingi zitakuwa hazijulikani na wengi. Zama nasi.

Orodha ya SMS za mapenzi

1. Kwa mpenzi wangu, wewe ni mwanamke mrembo zaidi kuliko kiumbe chochote katika maisha yangu. Nakupenda zaidi ya kitu chochote ama yeyote. Ndoto yangu ni kuwa penzi letu litaendelea kuwa na nguvu kadri siku zinavyosongea.

2. Wewe ni mpenzi wangu na umenipatia sababu milioni kwa mimi kutabasamu kila siku.

3. Kwa sababu ya penzi lako, mpenzi wangu, naweza kuukwea mlima mrefu zaidi na pia kutatua matatizo makubwa zaidi. Penzi lako kwangu linayapa maisha yangu sababu za kufanikiwa.

4. Nikiwa na wewe ubavuni mwangu na penzi lako likizunguka moyo wangu, naweza kufanikiwa na chochote. Unanipa nguvu na nishati ya kukabiliana na chochote. Nakupenda kwa moyo na roho yangu.

5. Bila penzi lako katika maisha yangu, maisha yanakuwa ya upweke na kiza. Wewe ndie unayeleta mwangaza na rangi ya upinde kwa maisha yangu, hata kama ni nyakati za mawingu. Asante sana mpenzi wangu.

6. Furaha inapulizwa katika maisha yangu wakati unaponitabasamia. Unapoongea, sauti yako ina nguvu ya kunipeleka sehemu ambayo kuna upendo na amani.

7. Wewe ni mpenzi wangu bora zaidi. Wewe ni zawadi ambayo nimeletewa na Mwenyezi Mungu na nitaitunza na kuilinda daima. [Soma: Maneno 100 ya kumwambia mwanamke afurahi]

8. Mapenzi yako huyafanya maisha yangu kuwa ya mwangaza na kuvutia. Hujaacha kuamini uwezo wangu wa kutimiza mambo na kwa sababu ya hilo nakuthamini.

9. Kila dakika ninayochukua nikiwa na wewe huwa ni spesho. Tunagawa hisia zetu na maisha yetu pamoja. Hivyo napenda zile hisia zote ambazo tunakuwa nazo wakati huo. Nakupenda mpenzi wangu.

10. Nikikuweka mikononi mwangu, nahisi amani ikizunguka katika kumbata letu. Nakupenda na utakuwa karibu yangu kila wakati.

11. Kila kitu kimekamilika katika dunia yangu, hii ni kwa sababu ya penzi letu ambalo tunagawa.

12. Kila nikifunga macho yangu huwa nakuona mbele yangu. Kutengana kimwili hakuwezi kuzuia penzi letu ambalo tunalithamini tangu jadi.

13. Haijalishi mahali popote ulipo kwa kuwa mara kwa mara unakuwa ndani ya moyo wangu na fikra zangu.

14. Siku yangu huanza kwa kukufikiria wewe mpenzi wangu na huishia hivyo hivyo. Nakupenda wangu laazizi.

15. Kama ningepewa nichague kati ya kulia na wewe ama kutabasamu na mwingine, ningekuchagua wewe kila wakati. Wewe ni penzi la maisha yangu.

16. Wewe ni zaidi ya mwanamke bora kwangu, wewe ni kila kitu kwangu. Nakupenda kwa moyo wangu wote.

17. Maneno hayaji kirahisi, lakini ninapokuwa na wewe, moyo wangu unadunda kwa haraka na nyota zinangaa zaidi.

18. Laazizi wangu, wewe ni zaidi ya mchumba wangu, kila siku ni wewe unayeleta furaha ndani yangu siku baada ya siku.

19. Wewe ni chuma katika ngao yangu, upepo katika dau langu na mdundo katika moyo wangu.

20. Kwa mahabuba wangu, mpenzi wangu ninayempenda, tumekamilika tukiwa pamoja. Asante kwa kugawa maisha yako na mimi.

21. Natamani niwe kitu cha kwanza ambacho unafikiria pindi unapoamka, mpenzi wangu.

22. Itakuwa fahari yangu iwapo nitakuwa mtu wa mwisho kumfirikia kabla hujaenda kulala.

23. Una uwezo wa kumwilika maisha yangu kama vile unavyonifanyia kila siku. Nakupenda.

24. Unafanya dunia yangu kuzunguka na kuzunguka kila siku. Sijui nitafanya nini bila wewe.

25. Mpenzi wangu nakuhitaji kama vile moyo wangu unavyohitaji kudunda.

26. Siamini wanaposema kuwa kuna kitu kinachoitwa kupenda kwa kuona mara ya kwanza kwa sababu kila nikikuona nakupenda zaidi na zaidi.

27. Kama mimi ni mfalme katika himaya yangu, basi himaya yangu haiwezi kukamilika kama wewe hautakuwa kando yangu kama malkia.

28. Kama ningepewa nguvu za kuweza kurudisha kumbukumbu za awali, basi ningerudisha hadi ile siku ya kwanza nilipokuangalia machoni na nikakuangukia kwa kukupenda. Nakupenda mpenzi wangu.

29. Hata kama nimeshindwa kuwa chozi lako, na pia kushindwa kuwa tabasamu lako, lakini kwako umefaulu kuwa hewa yangu ambayo inanifanya kuwa hai kila siku.

30. Nataka kuwa hewa ambayo inakuzunguka kila mahali. Nataka nisitambulike lakini niwe na umuhimu zaidi kwako. Nakupenda.

31. Kuna mamilioni ya watu hapa ulimwenguni lakini wewe ndie nilikuona kuwa unanikamilisha.

32. Wewe ni kipisi ambacho nimekuwa nikikitafuta kukamilisha jedwali ambalo ni mimi.

34. Mpenzi wangu, wewe unanikamilisha kama vile ambavyo kachumbari hukamilisha pilau.

35. Wewe ni fleva katika maisha yangu. Sitaki maisha yangu yakose ladha tena, nataka ubaki na mimi mpenzi wangu.

36. Nataka kufungua macho yangu na kuangalia uso wako mrembo kila asubuhi ninapoamka. Nitakuwa mtu mwenye bahati zaidi hapa ulimwenguni.

37. Kama ningepewa uwezo wa kuondoa kitu hapa duniani, basi ningeondoa umbali kati yetu. Nakumiss sana mpenzi wangu.

38. Maisha ni mafupi so tuvunje sheria pale tunapohitaji. Napo ni tuishi kikamilivu na tupende daima.

39. Sikuwa najua kwanini haswa mtu anaweza kumuangalia mwingine na kutabasamu bila sababu zozote hadi ule wakati nilipokutana na wewe. Nataka uwe wangu.

40. Mapenzi si kitu ambacho kinaeleweka, wala pia si kitu unachokihisi, huwezi kukipokea wala kupeana, mapenzi huja tu. Ndio maana nimejikuta nimekupenda mpenzi wangu.

41. Kuna njia nyingi za kukuambia kuwa nakupenda zaidi ya chochote, lakini hakuna maneno ya kutosha kueleza jinsi ninavyokupenda.

42. Napenda kuangalia macho yako kwa kuwa yananizuzua zaidi ya kitu chochote kile ambacho nishakumbana nacho. Nataka kuwa na wewe daima dawamu.

43. Kama kukupenda wewe ni hatia, basi nihukumu.

44. Nilikuwa nakumiss hivyo nikaanza kuhisabu nyota ili niweze kutaja sababu zote ambazo zinanifanya nikumiss. Cha kushangaza nikuwa nimehisabu nyota zote nikamaliza lakini bado sababu  niko nazo.

45. Nimekupatia moyo wangu kama zawadi yako, ufanyie chochote ambacho unataka kuufanyia lakini usiuvunje.

46. Nataka tuishi pamoja na kupendani kadi siku zetu za mwisho maishani.

47. Mpenzi wangu, wewe ni kama shuka katika maisha yangu, kwa hivyo usiniwache kwa hii baridi.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/sms-tamu-za-mapenzi-zitakazomnyegeza.html

Thursday, January 30, 2020

MAPENZI BILA UBUNIFU NA UTUNDU HAYANOGI, SOMA HII ITAKUSAIDIA UNOGESHE PENZI LAKO


Kwa asilimia kubwa mapenzi yanabebwa na utundu na ubunifu ulionao.
Ni ngumu kuteka hisia za mtu mazima kama unakosa ubunifu kwenye baadhi ya vitu na moments muhimu kwenye mahusiano.
Hebu wait kidogo, imagine umefiwa na mtu muhimu sana kwenye maisha yako.
Then mpenzi wako anakuja na kujaribu kuonyesha kiasi gani anakujali, hivyo anaamua kuchukua hatua ya kukubembeleza.
Anakusogerea karibu, na kukupapasa mgongoni huku akikuambia "Babe nyamaza, usilie. Naumia unavyolia, Be happy please".
Like seriously? Uwe happy? Wakati umefiwa? It's true ameonyesha kukujali, lakini amekosa ubunifu, maana kauli yake inaweza kukufanya umuangalie usoni na kumzaba hata kibao na kuona kama anakuletea uchuro.
Then imagine, unapitia the same situation na mpenzi wako anakuja na kukuonyesha kiasi gani anakujali na ameguswa na msiba.
Anakusogerea karibu na kukukombatia kwa nguvu.
Anakilaza kichwa chako kifuani mwake, huku akipapasa nywele zako na kukuambia kwa upole "Pole sana mpenzi wangu, najua unaumia sana. Lia babe, lia, usijizuie kulia babe, toa maumivu yote yaliyomo moyoni kisha ujitahidi kuwa strong.
Yote ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu, na hatuwezi pingana nae.
Usijutie mpenzi wangu, jitahidi uwe jasiri uweze kuvuka wakati huu mgumu unaopitia".
Anakutuliza kifuani mwake huku akiendelea kukutuliza taratibu mpaka pale unaponyamaza.
Kubwa ni kwamba, Kisaikolojia kumkombatia mtu kwa nguvu na kumuacha atulie kifuani mwako kwa dakika kadhaa, husaidia kumfanya mtu ajisikie vizuri na kumuondoa stress, depression, sadness, anxiety and pain.
Pia, usimzuie mtu kulia, muache alie akiwa kifuani mwako huku unamtuliza taratibu.
Kilio husaidia kuondoa huzuni na maumivu yaliyopo ndani ya kifua cha mtu.
Je unadhani ni mtu yupi hapo atakayebaki kwenye kumbukumbu zako wakati wote? Bila shaka ni huyu wa pili, sababu ameonyesha kukujali, na kuguswa na hali unayopitia, plus ni mbunifu.
Tusiishie hapo tu...!!!
Ladies, imagine dating a guy ambaye umezunguka nae mchana jua kali, then anakuuliza "una njaa?", kwa aibu unamjibu "Hapana", then anakuamini na kupotezea.
Kisha mfananishe na guy ambaye umezunguka nae then anakuangalia usoni na kukuambia kwa upole, "Pole sana honey, najua umechoka sana.
Twende kwanza ukale, then tumalizie mizunguko".
Kwa aibu nawe unamjibu "No sijisikii njaa". Then anakushika mkono na kukwambia "Afya yako muhimu sana. Twende ukale hivyo hivyo hata kama hujisikii njaa".
Mmefika restaurant, unakula vijiko viwili, nakujifanya umeshiba.
Anakutazama usoni, na kuupeleka mkono wake shavuni mwako.
Anakupapasa shavuni huku anakuambia "Unajua we mzuri sana, halafu unataka kujikondesha". Anachukua kijiko na kutaka kukulisha.
Unaringa kidogo, anakulazimisha kimahaba akulishe japo vijiko kadhaa. Mwisho unajikuta kakulisha mpaka sahani imeisha, kitumbo kimetuna ndii ndindi.
Yupi kati ya hao wawili utamkumbuka? Lazima itakuwa ni huyu wapili.
Why? Sababu alijua mwanamke anaweza sema NO huku moyoni akimaanisha YES.
Pia alijua mwanamke ni kama mtoto, anapenda kudekezwa, kubembelezwa.
Ndomana alionyesha utundu na mahaba kuhakikisha unakula na kuenjoy.
Imagine upo na mpenzi ambaye mnachat message 2 tu tayari story zimeisha, "Mambo"> "Poa", "Nimekumiss">"Na me pia", "Bye, nitakucheck", "okay".
Then imagine unachat na mtu ambaye story haziishi, mnachekeshana, mnataniana, mnaelimishana, mnashauriana, na kubwa zaidi mnachokozana kwa chat za mahaba.
Yani mpaka unaona kuandika ujumbe kazi, unaamua kumpigia simu ili umsikie vizuri anavyokusifia, na kukutamkia maneno yanayokutia hamu na kukuhamisha kihisia.
Yupi hapa utamuona ana umuhimu??? Bila shaka ni huyu wa pili.
Sababu ameteka hisia zako, akili yako, furaha yako, na kubwa zaidi anakufanya ujione wa thamani kwa maneno yake matamu na muda mwingi anaotenga kwaajili ya kuwasiliana na wewe.
Nimejaribu kuchukua mifano midogo sana.
Infact, upendo unanoga pale unapokuwa na mpenzi mwenye kujali na ni mbunifu, na mjuzi wa mambo.
Hebu Anza sasa, amka mapema na umjulie hali mpenzi wako pamoja na kumwambia kiasi gani unampenda.
Na hata kama sio kweli, mwambie ulimuota, tena mhadithie ndoto nzuri ya mahaba kati yako na yeye.
Kisha muage kwa mabusu na maneno matamu huku ukimsisitiza ale vizuri tena kwa wakati.
Itamfanya aanze siku kwa tabasamu.
Mpenzi wako anajua upo busy, lakini kutenga japo dakika kadhaa za kumchekesha kidogo, kuchat nae, kuhakikisha kama amekula vizuri, anaendeleaje kiafya.
Itakuwa poa sana, na itamfanya ajihisi unampenda, unamjali, na kumthamini.
Sometimes unaonyesha vurugu kidogo, unampigia simu na kumwambia kuwa ulimiss sauti yake.
Then unamvuruga hisia zake kwa kumtamkia maneno yatakayo mtia hamu ya kusex na wewe.
Itamfanya siku nzima akae akikuwaza.
Kama ndo mkeo, atatamani uwahi kurudi, kama Ndo mumeo, atatamani amalize kazi fasta aje home. Na kama bado ni wa chumba tu, basi huongeza hamu ya kutaka kukutana mara kwa mara.
Acha niishie hapa, mengine mtaongeza wenyewe huko huko mahusiano/ndoa zenu.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/mapenzi-bila-ubunifu-na-utundu-hayanogi.html

Yafahamu mambo ambayo mwanamke anayahitaji katika mahusiano ya kimapenzi


1. Anataka mume anayemjali na kujali kila anachokitaka. Sio tu mahitaji ya kimwili, bali pia ayatambue mahitaji yake ya kisaikolojia, upendo na kujali hisia zake.
2. Anataka mume anayemlinda na kumfanya ahisi kuwa yuko salama wakati wowote, kiasi kwamba hana hofu ya chochote kwa sababu anajua kwamba mumewe atamlinda na kumkinga na maudhi.
3. Mume anayehisi kwamba ameshikamana naye na kuridhika naye.
4. Mume anayeshiriki naye katika maongezi matamu yenye hisia tamu. mume anayempa maneno laini, sio maongezi makavu yasiyokuwa na hisia za kimahaba.
5. Anataka mume anayembusu kila anapoagana naye au anapokutana naye. Mke anapenda jambo zuri linalofanywa mara kwa mara hata kama ni dogo, kuliko jambo kubwa linalofanywa kwa kuchelewa au kwa muda mrefu. Busu unalompa kila siku kabla ya kwenda kazini ni bora kwake kuliko “outing” unayompa baada ya miezi sita.
6. Anataka mume anayeyaona yanayofanywa na mkewe kwa ajili yake, hata kama ni madogo. “Attention” ya mume kwa mke ni jambo muhimu mno. Anataka attention yako kwenye mavazi, kwenye chakula na hata mabadiliko madogo anayoyafanya kwenye chumba chenu....sio unakuta kitanda kimebadilishwa mkao unaanza kuponda
7. Mke anataka mume anayemkubali vile alivyo na kuchunga sana usalama wa hisia zake. Usalama wa hisia za mwanamke ni muhimu mno kuliko hata usalama wa uchumi wake. Haitakuwa na maana kama unamnunulia mavazi mazuri, lakini ukawa unaziumiza hisia zake.
8.mke anataka mume mwenye imani asiyetereka wala kuyumbishwa kwa maneno ya dada zake hata wazazi wake anayeweza kujisimamia ,sio kuperekeshwa
Ili kujifunza zaidi namna ya kutunza na kuimarisha mahusiano yako Pia usisahau kusikiliza sauti ya Mungu na kutenga Muda wa kuomba zaidi.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/yafahamu-mambo-ambayo-mwanamke.html

SEHEMU ZA KUMPAGAWISHA MWANAUME WAKO MUWAPO KITANDANI


kwa hakika wanaume nao huwa na maeneo ya kuwasisimua na kuwapandisha kasi zaidi huku akipata raha ya ajabu.... leo nitayataja maeneo ambayo mwanaume akiguswa kimahaba huwa yanamsisimua sana na kumfanya ahisi kuchanganyikiwa kimahaba
1. MASIKIO💕💕💕💕💕
hii ni seheme ambayo hubeba hisia nyingi sana
za mwanadamu;
hapa Mwanamke unatakiwa ufanye kama kukunong'oneza kimahaba kisha utumie ulimi wako kukugusa masikio ndani,nje na kwa nyuma pia hii inaweza kumfanya Mwanaume awe na msisimko mkubwa.
2. SHINGONI💕💕💕💕💕
Sehemu hii ina hisia sana kwa kila kiumbe
kwa sababu mishipa mingi ya fahamu hukutania hapo
mguso wako wa pole pole kwa kutumia ulimi wako na pumzi ya kimahaba vinaweza mfanya Mwanaume achanganyikiwe zaidi juu yako
na kumfanya asahau mengine maana msisimko utampanda kwa haraka zaidi KAZI KWAKO kujua jinsi ya kumwekea na yeye "love bite" pia Mwanamke unatakiwa uwe fundi wa kutumia ulimi wako na lips hapo kwenye shingo ya Mwanaume
3. NGOZI💕💕💕💕💕💕
Namaanisha kushikana/kupapasana kabla ya kufanya lolote ni jambo zuri sana kwani utaufanya miili yenu isisimke kwa pamoja na kumfanya mwanaume mzunguko wake wa damu kuongezeka na kuwa wenye kasi hii itamsaidia uume kuwa wenye nguvu na kusimama kwa muda(kumuongezea pumzi ya kutomwaga haraka na hata akimwaga iimpe nguvu ya uume kutokulala baada ya kumwaga) na pia itampandisha hisia zake sana TUMIA HATA ZAIDI YA DAKIKA ISHIRINI KUSHIKANA/KUPAPAANA NA MUME WAKO KABLA YA TENDO
4. BUSU LA DENDA💕💕💕💕💕
hii sio kitu cha kushangaza jinsi gani denda(deep kiss) linavyo sisimua na kuamsha hisia na kuongea hashki ya kufanya tendo la ndoa ila Mwanamke inatakiwa ujue jinsi ya kumpagawisha Mume wako na Denda kwa kumyonya na kubite lips zake kimahaba tafadhali pia kwa kucheza na na ulimi wake kimahaba na sio kubadilishana mimate tuu😄 mpe raha kuwa fundi kwenye denda asikumbuke kutoka nje kila mara akuwaze wewe tuu.
5. SEHEMU ZA JUU ZA UUME💕💕💕💕💕
hii ndio sehemu yenye kumchanganya zaidi Mwanaume kimahaba na ndiko sehemu hisia zake za kimahaba zimekaa . hapa Mwanamke haitaji ujuzi mwingi bali ni kujua ni wakati gani ni mguse eneo hilo na nimguse vipi💋💋👉💪
mfano; MUME simama kwenye ukuta utamgusa kwa kumpapasa juu ya alichokivaa kwa kupandisha mkono na kuushusha huku ukimguga uume wake fanya hivyo mara 8 mpaka 10 kabla ya kuingiza mkono ndani na kuitoa nje ili kuishika vizuri kimahaba na labda kuanza kuinyonya kiufundi na kimahaba zaidi
vivyo hivyo hata mkiwa kitandani usikurupuke kumshika UUME wake unatakiwa umlegeze na umchanganye kimahaba kwanza
na kwa kufanya ivyo itakusaidia kutunza uhusiano wako na MUME wako
6. G SPORT😁😁😁😁👇💕💕💕💕💕
G Sport ni mstari wa kiufundi sana katika mapenzi ni sehemu ambazo mwanaume yeyote ukizikamata lazima atulie na asisimke kwa hali ya juu. mstari huu si kwa mwanaume tu bali hata wanawake pia husisimka,
Leo naomba niwaambie huu mstari unatokea wapi. ukigusa mgongoni ukakutana na pingiri za mgongo ukizifuata hizi mpaka chini ukashuka nazo mpaka mbele katika uume utaona katika kende za wanaume kuna mstari. Ule sasa ndo unaitwa G sport , Mwanamke ukichukua kidole chako na kupapasa papasa huo mstari kwa kupanda na kushuka hapo unaweza kukamata hisia za Mwanaume na akashindwa kufanya lolote.
hizo ndizo sehemu ambazo Mume wako ukimkamata na maombi mstari wa mbele 🙏🏃hachepuki ng'oooo . Imani yako ndio itaponya ndoa , huna Imani na MUNGU 😘 🙏 haya MAFUNZO ni ubatili na kujilisha upepo , wengi wanajihendea kichwa kichwa , tambua bila YESU ndiye nguzo Imeandikwa ,"💕💕💕
"Na kila *mfanyalo,* kwa neno au kwa *tendo,* fanyeni kwa jina la Yesu".
Wakolosai 3:17a.
😂🏃 Acheni Papara, ombeeni kwanza hilo tendo, ili Bwana Yesu Kristo awe refarii wenu na shahidi mwaminifu.
😂 Mkimaliza pia mshukuruni kwa kuwaongoza vema na kufunga magoli mazuri na mengi.
👍Sema Ameni kama umeombea hiyo kazi.😄💕
🏃🏃🏃
Ila usimbanie sana Mume wako ujuzi wako na pia usipende kufanyia mapenzi gizani jiamini we ni mkali kwa Mume wako na maumbile yako aliyo kuumbia Mungu
jitoe kwa Mume wako
🔴NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE 🙏
NA MALAZI YAWE SAFI 🙏


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/sehemu-za-kumpagawisha-mwanaume-wako.html

Wewe mwanaumeeeeee amka ulikolala. 😏😏.


Mkeo hakuombi pesa mara kwa mara nawe unajisifu mbele ya wanaume wenzako kuwa et una bahati kwani una mke asiyependa pesa 😀😀 mjinga kweli wewe.
Inawezekana hapendi kukuombaomba muda wote anasubiri ujiongeze, usijisahau 🤔🤔
Hakuna mwanamke asiyependa matunzo stahiki 😋😋.
Sijazungumzia wachumba hapa naongelea ndoa.
Hajakuoa ukianza kutaka utunzwe usisahau "Ukijua kula uwe tayari kuliwa" 🙄🙄.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/wewe-mwanaumeeeeee-amka-ulikolala.html

Si ajabu bado unataka kuzaa, huku unasema hautaki kuolewa. 😲😲😲


Je utazaa na nani kama si umejiandaa kuwa mchepuko wa ndoa ya mwanamke mwenzako aliyekubali kuolewa? 😒😒
Hautaki kuolewa basi acha ndoa za wanawake wenzako waliojitolea kuingia kwenye ndoa ziwe salama. 😏😏.
Wanawake wenzako wanaumizwa ndoani, ndoa zinayumba kisa wewe mwanamke usiyefikiria kwa mapana kuhusu uamuzi wako wa kutokuolewa, et sina imani na wanaume 😏😏, kwani huyo mume wa mtu unayetaka uzae naye ametoka dunia nyingine? 😉😉.
Ngoja niishie hapa kwa leo ila najua wanawake wenye nia ya kutunza ndoa zao wamenielewa! 😊😊.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/si-ajabu-bado-unataka-kuzaa-huku.html

JIFUNZE KUPOTEZEA BAADHI YA VITU KWENYE MAHUSIANO, INASAIDIA SANA


Unaweza kuwa Unaumia sana muda huu. Lakini itafika siku ambapo hutajali tena.
Itafika siku moja utapitisha siku nzima bila ya kumpigia simu au ku-mtext na kujiona uko sawa kabisa.
Itafika siku utasikia yupo na mtu mwingine na wala hutahisi kuumia au kukasirika.
Itafika siku moja, utaziona picha zake na wala hutajihisi jambo lolote. Unaweza kutana nae ukaongea nae na zile hisia za kuumiza juu yake hutazihisi tena.
Najua, unaweza usiamini ninachokiongea kutokana na tabia ya moyo ya kung'ang'ania, lakini, fahamu kwamba, muda nao huponya. Haiwezi kuwa hivi sasa, ila siku itafika tu.
Na siku hiyo itakapofika, utajishangaa kwanini ulikuwa ukilia? Kisha, utaona uamuzi wa kumuachaJIFUNZE KUPOTEZEA
Unaweza kuwa Unaumia sana muda huu. Lakini itafika siku ambapo hutajali tena.
Itafika siku moja utapitisha siku nzima bila ya kumpigia simu au ku-mtext na kujiona uko sawa kabisa.
Itafika siku utasikia yupo na mtu mwingine na wala hutahisi kuumia au kukasirika.
Itafika siku moja, utaziona picha zake na wala hutajihisi jambo lolote. Unaweza kutana nae ukaongea nae na zile hisia za kuumiza juu yake hutazihisi tena.
Najua, unaweza usiamini ninachokiongea kutokana na tabia ya moyo ya kung'ang'ania, lakini, fahamu kwamba, muda nao huponya. Haiwezi kuwa hivi sasa, ila siku itafika tu.
Na siku hiyo itakapofika, utajishangaa kwanini ulikuwa ukilia? Kisha, utaona uamuzi wa kumuacha aende ulikuwa ni uamuzi wa busara katika maisha yako.📚🚜 aende ulikuwa ni uamuzi wa busara katika maisha yako.📚🚜


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/jifunze-kupotezea-baadhi-ya-vitu-kwenye.html