Mwanamke anao uwezo wa kuishi na Mwanaume mmoja moyoni mwake hata kama Mwanaume huyo hayupo maishani mwakeπ―
Upendo wa Mwanamke ni wa hakika awapo msichana, na Mwanaume akifanikiwa kuutunza UPENDO π wa USICHANA wa Mwanamke wake atakuwa na hakika ya UPENDO WA KUDUMU ila ikiwa kinyume chake niamini MWANAMKE HUYO AKIISHA KUZAA NA AKABAINI WEWE NI CHENGA ATAONDOA UPENDO WAKE WA DHATI NA KUHAMISHIA KWA MTOTOπ―
Mwanamke akifikia hatua ya KUMPENDA MTOTO WAKO ENEO HUSIKA UTAKALOWEKWA NI MLINZI WA FAMILIA ila upendo utausikia tu, lakini pia Mwanamke huyo hatakuwa na uwezo wa kukuacha kwa DHAMANA YA MTOTO/WATOTO π
Maana halisi ya PENZI NI UPENDO π ila ukifika wakati ukawekwa kwenye maeneo rahisi ujue HUNA CHAKO HAPO π―
Mwanamke akiisha ondoa UPENDO WAKE WA DHATI KWA MWANAUME WA USICHANA WAKE ataishi kwa kutanga tanga kutafuta AMANI baada ya kujionea ANGUKO LA UPENDO WAKE WA DHATI ππ
Pamoja na kutanga na njia kwa Mwanamke huyo HATAACHA KUISHI MOYONI NA MWANAUME ALOZAA NAE maana mtoto ama watoto wanabeba UPENDO HALISI WA USICHANA WAKE π―
Kwa Mwanaume ajaye baada ya Mwanamke kuzaa ushauri wako huu;
• USIAMINI KATIKA UPENDO WA DHATI KWA MWANAMKE ALIYEKWISHA KUWA NA FAMILIA πͺ MARA NYINGI WANAISHI KWA KIVULI CHA MAUMIVU YA NDOA ZAO HUKU WAKIISHI NA PENDO LA MOYONI KUTOKANA NA FAMILIA πͺ ILIYOKUTANGULIAπ―
#Elista_kasema_ila_sio_Sheriaπ¨

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/upendo-wa-mwanamke-kwa-mwanaume-ni.html

No comments:
Post a Comment