Monday, February 24, 2020

NISIKILIZE MWANAMKE πŸ—£


Ufikiliapo kuanza maisha yako huku ukiwa na mwenza πŸ’‘ wa maisha fahamu mambo haya;
• USIFIKIRIE MTOTO/WATOTO.
• USIENDESHWE NA HISIA.
Ndoa nyingi za sasa zinatawaliwa na TAMAA YA KUPATA MTOTO PAMOJA NA MIHEMKO YA KI MWILI wakati hayo sio maana halisi ya UPENDO 
Maana halisi ya UPENDO ni wawili kunia mamoja, Walio wengi wanajukuta wamechoshwa na MAHUSIANO FAKE na kuamua kuweka masharti kwa Mwanaume ajaye, Unaweza kumlazimisha Mwanaume akuchumbie hata kukuoa kabisa ila SHARTI LAKO NDILO LIMESABABISHA ILA MOYONI HAKUPENDIπŸ’―
Na ndoa nyingi za sasa ndo zina MAZINGIRA HAYO πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanamke
Kumfanya Mwanaume akuoa haimaanishi ATAKUPENDA ikiwa hana UPENDO WA DHATI KWAKO zaidi ni wewe kujitafutia maumivu ya NAFSI😭😭
Kumbuka jambo hili;
• MTOTO ANAPATIKANA KWA TENDO LA NDOA lakini pia Mihemko yako ni sehemu ya tendo la ndoa JE NI MWANAUME YUPI ATAACHA KUKUZALISHA AMA KUKUPANDA wakati ni sehemu ya hitaji lake kwako huku wewe umeweka sharti la ndoa?
Mimi nadhani uwapo katika harakati za kuanza kufikiria maisha WAZIA ZAIDI WAKATI UJAO "future" umpate mwenza ambaye mtaanza kunia mamoja kwa kuchangisha nguvu zenu kwa ajili ya WAKATI WENU UJAO πŸ’―
Wala usimchukue Mwanaume kwa sababu suruali πŸ‘–inakaa vizuri kiunoni ama shati πŸ‘” linakaa vizuri kwenye bega πŸ˜‚ hayo yote hayadumu MOYONI ila yanaleta taswira nzuri machoni.
Lakini kama ndo mnajiamini kwa viji-mishahara ama vipato mkaamini mnaweza kukabiliana na WAKATI UJAO "future" nakwambia utajikuta una mzigo mzito usosaidika πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiishakuwa na Mtoto wa Mwanaume mzigo ujue MACHWEO YAKO NI MAHANGAIKOπŸ˜‚πŸ˜‚
#Elista_kasema_ila_sio_sheriaπŸ”¨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/nisikilize-mwanamke.html

No comments:

Post a Comment